This is how Shetan Always stops you from doing good deeds..... Beware from the whisper of the Devil

Herbalist Dr MziziMkavu

Platinum Member
Joined
Feb 3, 2009
Posts
43,114
Reaction score
34,956
481458_473260492712266_1230681697_n.jpg

Shetani anamzuia jamaa asimsaidie masikini mlalahoi oneni jamani shetani alivyokuw ana nguvu.
 
Wazungu bwna yani,kwao shetan ni k2 cheusi hvi,dah wanatudharau sana awa jamaa.

Yeah mkuu...kujua tatizo ni mwanzo mzuri wa kulitatua...kuliko kung'ang'ania Eti mara oooh wazungu/wayahudi ni ndugu zetu(wakristo) vs waarabu ni ndugu zetu(waislam)..tunajipendekeza kwa.watu wanaotudharau sana.
 
Ya kweli Haya mkuu...?..unawazumgumziaje waarabu na hasa wale wa mecca
Mkuu IGWE Nimesema Wazungu sio waarabu kuna tofauti kubwa kati ya Wazungu na Waarabu mkuu umesoma shule mpaka darasa la ngapi wewe? Wazungu na Waarabu ni vitu 2 Tofauti Wazungu na watu asia ni vitu 2 tofauti rudi shule ukajifunze ni nini tofauti kati ya Wazungu na waarabu samahani kama nitakukwaza.
 
Pumbavu kabisa, yaani shetani ni Mwafrika halafu Yesu mzungu na mtume ni Mwarabu.
Mkuu mikela Bwana YESU hakuwa ni Mzungu wala Mtume wa waislam hakuwa ni Mzungu. Bwana YESU alikuwa ni Myahudi Mtume muhammada S.A.W. alikuwa ni muarabu tofautisha kati ya Waarabu na Wazungu jamani nyie mukiona huko bongo waarabu au wahindi mutawaita ni wazungu?mumesoma shule mpaka darasa la ngapi?
 
Last edited by a moderator:
Mkuu IGWE Nimesema Wazungu sio waarabu kuna tofauti kubwa kati ya Wazungu na Waarabu mkuu umesoma shule mpaka darasa la ngapi wewe? Wazungu na Waarabu ni vitu 2 Tofauti Wazungu na watu asia ni vitu 2 tofauti rudi shule ukajifunze ni nini tofauti kati ya Wazungu na waarabu samahani kama nitakukwaza.

Haujanikwaza mkuu..nafikiri haujanielewa namaanisha Nini..najua sana tofauti ya wazungu na waarabu...swali langu ni je..waarabu nao ni mashetani kama ulivyosema hapo juu kuhusu wazungu...maake najua waislam ukimgusa mwarabu ni sawa ukiigusa mboni yake...hope umenielewa sassa..
 
Tatizo halipo kwetu Sisi mkuu..lipo kwako sababu hauwezi kusoma between line...Yaani wewe fasihi kwako ni negative..mtu akikufumba kidogo unaangukia pua...pwaaaaaaaaaa
 
Last edited by a moderator:
Haujanikwaza mkuu..nafikiri haujanielewa namaanisha Nini..najua sana tofauti ya wazungu na waarabu...swali langu ni je..waarabu nao ni mashetani kama ulivyosema hapo juu kuhusu wazungu...maake najua waislam ukimgusa mwarabu ni sawa ukiigusa mboni yake...hope umenielewa sassa..
Mkuu IGWENimesema Wazungu ndio Mashetani Sijasema waarabu wala

Wahindi kuwa ni Mashetani tafadhali unielewe kiswahili changu ndio maana nimekwambia kuna Tofauti kati ya Wazungu ,Waarabu na

Wahindi. Au nikufundishe kidogo Elimu Wazungu wanatoka bara la Ulaya Waarabu wanatoka Bara la Uarabuni na Wahindi wanatoka Bara

la Asia si unajuwa kuna Mabara 6 Duniani? ndio maana nimekuuliza umesoma shule mpaka Darasa la ngapi? au umekimbia umende wa

asubuhi?ninakuacha hapo kwa leo rudi shule ukasome tena kujuwa Tofauti kati ya Wazungu ,Waarabu na Wahindi. IGWE IGWE IGWE
IGWE weeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Wazungu bwna yani,kwao shetan ni k2 cheusi hvi,dah wanatudharau sana awa jamaa.
wakati majini na mashetani hung'ara pia,hata hivyo mimi naona kama wanatuonea na ndo maana wanatumia nguvu kubwa kuupiga vita weusi.kumbuka mti wenye matunda ndio hupopolewaa kwa mawe.
 
Mkuu IGWENimesema Wazungu ndio Mashetani Sijasema waarabu wala

Wahindi kuwa ni Mashetani tafadhali unielewe kiswahili changu ndio maana nimekwambia kuna Tofauti kati ya Wazungu ,Waarabu na

Wahindi. Au nikufundishe kidogo Elimu Wazungu wanatoka bara la Ulaya Waarabu wanatoka Bara la Uarabuni na Wahindi wanatoka Bara

la Asia si unajuwa kuna Mabara 6 Duniani? ndio maana nimekuuliza umesoma shule mpaka Darasa la ngapi? au umekimbia umende wa

asubuhi?ninakuacha hapo kwa leo rudi shule ukasome tena kujuwa Tofauti kati ya Wazungu ,Waarabu na Wahindi. IGWE IGWE IGWE
IGWE weeeeeeeeeeeeeeeeeeeee

ahahahahaaaaas...nilijua tu jibu hili kutoka kwa muislam yeyeto...unakwepakwepa tu
..Eti oooh warabu hivi mara wahindi hivi...huo ndio ujinga wa hizi dini i.e mkristo ulimgusa myahudi aatatoa povu na muislam ikimgusa mwarabu atatoa povu.
Nb:nimekuambia najua sana tofauti ya hizi race mkuu.
 
Mkuu IGWE Nimesema Wazungu sio waarabu kuna tofauti kubwa kati ya Wazungu na Waarabu mkuu umesoma shule mpaka darasa la ngapi wewe? Wazungu na Waarabu ni vitu 2 Tofauti Wazungu na watu asia ni vitu 2 tofauti rudi shule ukajifunze ni nini tofauti kati ya Wazungu na waarabu samahani kama nitakukwaza.
kabisa mkuu mzizi maana hapa tunajadili misingi ya kiutu kama binaadamu na hasa waafrika hatuko hapa kidini ila kiafrika na kiutu kabisa.
 
Yeah mkuu...kujua tatizo ni mwanzo mzuri wa kulitatua...kuliko kung'ang'ania Eti mara oooh wazungu/wayahudi ni ndugu zetu(wakristo) vs waarabu ni ndugu zetu(waislam)..tunajipendekeza kwa.watu wanaotudharau sana.
mkuu igwe hakuna undugu baina ya wanaadamu uliowataja hapa ulimwenguni,your gt man,ukiona kaurafiki baina ya hawa watu basi kuna faid fulani wanaitarajia kwenye huo urafiki.na kama sio njaa yao ya rasilimali nakuapia hakuna mwafrika angekanyaga ulaya.na mimi huwa naamini pamoja na utajiri na maendeleo yote walionayo ukitokea muujiza kukawa na kizuizi cha muingiliano baina ya ulaya na mabara mengine miaka thelathini tu watakua hawamo kwenye utajiri wao.siku njema kaka.
 
mimi ndio maana nampenda sana hitla na watu wa namna wanaokuja kuithibitishia dunia kwamba hakuna binaadamu mwenye mungu kuzidi mwingine.
 
Back
Top Bottom