Afro-Arabica
JF-Expert Member
- Aug 27, 2013
- 1,107
- 493
WaTanzania wenzetu wanaperfom this year 2013....
hivi sikukuu ni tarehe ngapi?
natamani na mie siku moja niwe miongoni mwa watakaoenda hija inshalaah
MashAllah ulivyosema tu !! "nia yako" imepokelewa.... nami ntakuwa mwenyeji wako together safarini.... in-shaAllah huwaga inashauku na msisimko wakujoin ummati.natamani na mie siku moja niwe miongoni mwa watakaoenda hija inshalaah
<!-- google_ad_section_start(weight=ignore) -->Heaven on earth<!-- google_ad_section_end -->Billions hearts only 1 voice. 'Labayk Allahuma Labayk, Labayka lasharika laka Labayk, Inna lhamda, wan naamata, lakawalmulk lasharika laka.'
in-shaAllah 15 au 16 oct. Tues/wed.. eiddi mubaraka karibu kwetu ...tutachinja kondoo !hivi sikukuu ni tarehe ngapi?
Amiin in sha Allah kwa kila mja wa Islam.
<!-- google_ad_section_start(weight=ignore) -->Heaven on earth<!-- google_ad_section_end -->
I hope utakuwa mwalimu wetu katika Manasiki (performence ya hajj)... utujuze maana unalafudhii yenyewe!!
natamani na mie siku moja niwe miongoni mwa watakaoenda hija inshalaah
jana nilisikia ktk taarifa ya habari wakisema ni jumatano trh 16/10