Halaf hapa kuna kitu nimenotice. Yaani Mbu kapotea ghafla na MJ1 haonekani, mara The Boss kapotea ghafla na Gaijin haonekani na kuna kila dalili The Finest atapotea na ghafla Chauro hatoonekana.
Hii sredi hii
Ni homa tu mpendwa wangu, alafu nasikia mapigo ya moyo yananienda mbio sijui kwa nini! Leo nimefungwa siendi kokote, ukiniletea juice ndo mlo kabisa lol!!