Ooooh kumbe ni birthday , hongera sana kwa siku hii muhimu ktk maisha yako Mungu azidi kubariki mahusiano yenu na yazidi kushamiri day by day.
wewe teja?
Nifundishe niwambiaje waelewe?
Hahaaa mimi teja ndio.....
karibu sana best
asante sana buddy...
Happy birthday to my kaka...!!!
Remind me of them childhood prayers...some of them naomba Mungu azitupilie mbali asikumbuke.
Oh CostaRica...
Waambie tu hali haliso ilivyo .....!!
Mbona nimewambia hawanielewi labda watakuelewa wewe paroko mstaafu.
basi pouwa....
karibu sana.
Mama paroko hebu waambie wakuwache upumue .....!!
Nyieee niacheni nipumuwe....nshawaambia bby lol