na viatu ununue vipya....
...digest it in ur brain....kama unaona ni wivu sawa.ona hivyo..but if u can digest it in ur brain...wivu umekukaba sana Pole...😛ray:
Ni kweli doctor unayoongea, vijana wa siku hizi wanapenda mapenzi ya kuigiza na kuonesha kila mtu, alafu mambo haya bora afanye mwanamke lakini mwanaume hivi unakuja kufanywa -----.....unacheka lakini...sijui labda mi ni mshamba....mapenzi ya kuweka public sana hasa kwenye mitandao naona ni kama kutokujiamini.....kuleteana usanii...mapenzi ya kuigiza....mapenzi original watu wanakaa wanaconstruct sio kila mtu ajue.....lakni wao wawili wanatakiwa wajue vizuri kwamba wanapendana na kuconstruct mapenzi yao......Ila kuna mtu kanipa ushauri kwamba ni-take JF-MMU serious sana
na viatu ununue vipya....
Usisahau kueka budget yangu katika hilo eeh
miss chagga....naomba kuambiwa wedding coloul itakuwa ipi ili nifanye maandalizi mapema coz nataka iwe ndani ya budget yangu mwaka huu.
Final u gona be husband & wife,patanogaje hapo! Hongera bi shost
Hahahaa..Rombo ipi Tarakea au mkuu?
Ook... nipe dakika kadhaa narudi... maana kuna tiba unatakiwa kutoa hapa...
Watu na watu wao ....!!!!!!!!!!!