Yaani hata kabla ya kufungua huu UZI, niliposoma heading tu nikajua huyu atakuwa K. Matata
Sent using Jamii Forums mobile app
Aah wapi Kasinde,miye mchungu kama muhogo wa kibanda meno...Aahahahahhahaaa Msafiriiii, sifikii kiwango cha utamu wako wa sukari kwa warembo wa JF.
Aah wapi Kasinde,miye mchungu kama muhogo wa kibanda meno...
Sifai kwa bada wala kwa futari
Unaanzaga mwaka na mahaba unamalizaga na mahaba? Kweli dunia haiko fair.😂
Mtunzi riwaya katika ubora wake... MatataNani kasema, unafikiri ukiwa ndani ya Nissan nyeupe utamu unakwepeka...!!?? Aahahahahhahaaaaa hapo huchomoki wee sema jingine Ila kwa utamu wa sukariii, labda tulainishe maneno kupunguza ukali uwe halua ya kumalizia mlo.... Taaamuuuuuu aaahahahhahahaaaa.
Ila hapo kwenye muhogo hapo, umesema wewe ina muhogo wa kibanda ajeee..... Eeehhhh so tempting...
Jamani eeehhh, warembo mmesikia.... mwenyeww kasema yeye ni muhogo, ukitaka mbichi wa kutafuna, wa kuchemsha, wa kukaanga, wa kuchoma unapatikana kwa sugar people aahahahahahaaa
Watu kama nakuona unataka kunifinya eeheheheheheheeee cheers.
Je huwa napita hapa JF?? na kuona sifa anazo mwagiwa toka kwa Platinum K' MatataHe is such a man, I can't compare him....
You made my morning Kasie!Ooh yeah....
He is such a man, I can't compare him....
Me and Dadii keep it old school for old times sake.
I think I wanna have your baby Dadii....
He knows that my name is not Susan..
Ladies, ........Good man are hard to find you know...
This one I gat, is a mighty good man (Dadii)...
He is never disrespectful cause his mama taught him that...
And I am so proud to have him, laying on his chest singing.... He is a mighty good man I have...
Laaabbyuuuuu Dadiiiiii
Mmmuuuahhh!!!
Granny Matata.