SK2016
JF-Expert Member
- Apr 6, 2017
- 8,077
- 13,953
Una "Uniqueness" kwenye uandishi wa heading.Umegunduaje? Wewe ni mtu wa tatu kama si wa 4 kusema unamtambua muanzisha mada kwa kuangalia kichwa cha uzi tuu....
Utaalam wako tafadhali...
Au kwa lugha nyepesi naweza sema una kitu tunaita "individualism " (ubinafsi ) wa baadhi ya maneno. Yaani likitamkwa tu, tunajua ni K. Matata!
Kwa mtu anayehudhuria jukwaani mara nyingi atakuwa anafahamu hili. Kuna baadhi ya members hata kabla ya kufungua uzi nakuwa nimesha- guess atakuwa fulani tu!
Sent using Jamii Forums mobile app