This is BullShit..

adakiss23

JF-Expert Member
Jan 23, 2011
4,477
4,270
Serikali imewarudisha wahamiaji haramu toka Ethiopia kwa ndege kwa gharama za serikali ya Tanzania. Maswali ya kujiuliza Je! Hizi fedha zinatoka ktk fungu gani?? Je nani anahusika na uingizaji wahamiaji haramu? Je anatimiza majukumu yake? Je mipaka yetu ni salama? Msinipe majibu.. Mungu ibariki Tanzania Mungu ibariki Afrika

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Kaka usilie sana hii ndo nchi yako unashangaa hilo dogo tu wakati wewe hupati mkopo kirahisi wakati mwekezaji anakopeshwa na serikali kupsta mtaji na shamba analipa eka kwa mwaka mia 6. ile nchi ya kichaa na mfalme wake c unamjua?

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Hii nchi balaa tupu walimu wanagoma matatizo ya wananchi ni mengi eti Leo serikali imetumia million 80 kwa ajili ya kuwarudisha wahamiaji haramu makwao wakati hao wahusika wa uhamiaji na wa mipakani hawajachukuliwa hatua yoyote.Ni aibu sana
 
Serikali imewarudisha wahamiaji haramu toka Ethiopia kwa ndege kwa gharama za serikali ya Tanzania. Maswali ya kujiuliza Je! Hizi fedha zinatoka ktk fungu gani?? Je nani anahusika na uingizaji wahamiaji haramu? Je anatimiza majukumu yake? Je mipaka yetu ni salama? Msinipe majibu.. Mungu ibariki Tanzania Mungu ibariki Afrika
Tanzania kisiwa cha amani bana pia ni wakarimu.

Lakini mkuu adakiss23 unaweza jaribu hii nawe, nenda, ingia Ethiopia kama mhamiaji haramu. Kwa kulipa ukarimu wa Tanzania huenda utarudishwa kwa jet ya waziri mkuu wa Ethiopia.

Au ulipendelea watu hao wapewe uraia wa Tz? Au wafungwe gerezani ili tulipie kula yao?
 
Mipaka ni salama kabisa kwa hilo ondoa wasi wasi, ela hiyo nayo nadhani ipo kwenye budget ama ni mafungu ya dharura ya serikali
 
Back
Top Bottom