This is Amazing, 4G LTE Now in Tanzania.

This is Amazing, 4G LTE Now in Tanzania.

Nimesikia Vodacom wameanza ku rollout site za LTE, tayari maeneo ya Masaki na Oysterbay wameanza kuenjoy huduma hii....sijui sisi wa Tegeta huduma hii itatufikia lini.

The LTE which 0 people will use/utilize it. they should sell the phones wth their LTE standard radio to go wth it.
 
Can You Imagine, 10 to 20 Mbps Downloading and 5 to 8 Mbps Uploading, keep on Smiling :happy:
 
Naona marketing department ya Smile imejiunga JF 😀. Karibuni sana, ila washaurini wapunguze bei kumatch Voda at least ndo tutaelewana.
 
post ile haijakutosha umefungua na nyengine mwanzo uliniconvice ila sasa umeniboa, inaonekana unatangaza biashara na nahisi hata hio speed hamna.
 
Kwanza bei enyewe juu.. na mapaka leo hatujaona screen shot kama unapata iyo speed weka screenshot.
 
The LTE which 0 people will use/utilize it. they should sell the phones wth their LTE standard radio to go wth it.

mkuu sku hizi hadi simu za laki 2 na nusu zina lte mfano samsung exhibit so sidhani kama kutakua na 0 user kweli cha muhimu ni wao kutoa elimu.

100mps so mchezo bwana na ukiangalia kwa simu matumizi si makubwa sana hata 2gb zinatosha kwa mwezi
 
mkuu hizo g unazoziona mbele ya maana yake ni generation na kila generation moja na speed yake so mpaka ufikie hio speed ndo tunaiita hilo jina

1g- ya zamani sana haikua na viwango

2g- hapa kulikua na speed hadi 14 kbps.

2.5g kuzaliwa kwa edge mpaka 284 kbs

3g kwa simu iende 384 na kwa pc 2mbps (chini ya hapo si 3g)

baadae hapo hapo kwenye 3g wakaimprove kukaja kitu kinaitwa hspa+ (hsdpa na hsupa) zenye speed kuanzia 21mbps still tupo 3g.


tuje 4g
hapa standard iliopo ni 100mbps kwa simu na 1gbps kwa pc so mkuu hao jamaa wako wa 4g mtu akiwa kwenye pc anapata speed ya 125MBps kwenye idm?

Mungu akubariki kwa hili somo
 
ila MB 500 ni 9000 hapo ni kwa ajili ya kusurf tu maana kama sisi tunaopenda kudownload haitufai ni hasara kabisaa...

Sitangazi biashara ya mtu lakini nawaomba wana jf wenye ugonjwa wa kudownload zaidi wajaribu modem ya ttcl kifurushi cha Banjuka, raha tupu!
 
hii 4G kwa sasa ni ya wadosi, na waswahili wanaotaka sifa.
 
Watanzania tuna makelele mengi sana hii 3G yenyewe wameshindwa kui master leo wanatutangazia 4G, hivi huwa mna maana gani vile? Utakuta watu wanajisifu tuna 3G lakini ukitumia unakuta dashboard inasoma 83KB/s
 
Watanzania tuna makelele mengi sana hii 3G yenyewe wameshindwa kui master leo wanatutangazia 4G, hivi huwa mna maana gani vile? Utakuta watu wanajisifu tuna 3G lakini ukitumia unakuta dashboard inasoma 83KB/s

Umesema ukweli kaka inaboa sana kama hii ya voda 3G kila muda kuzima simu na kuwasha ndio network inakubali download
 
4G LTE bands zake kwa Vodacom ni zipi tunaomba kujuzwa wakuu
 
Back
Top Bottom