This is Amazing, 4G LTE Now in Tanzania.

This is Amazing, 4G LTE Now in Tanzania.

KhalidM

Member
Joined
Dec 22, 2012
Posts
14
Reaction score
4
4g lte mobile broadband now available in tanzania, while some european countries are still waiting
 
mkuu hizo g unazoziona mbele ya maana yake ni generation na kila generation moja na speed yake so mpaka ufikie hio speed ndo tunaiita hilo jina

1g- ya zamani sana haikua na viwango

2g- hapa kulikua na speed hadi 14 kbps.

2.5g kuzaliwa kwa edge mpaka 284 kbs

3g kwa simu iende 384 na kwa pc 2mbps (chini ya hapo si 3g)

baadae hapo hapo kwenye 3g wakaimprove kukaja kitu kinaitwa hspa+ (hsdpa na hsupa) zenye speed kuanzia 21mbps still tupo 3g.


tuje 4g
hapa standard iliopo ni 100mbps kwa simu na 1gbps kwa pc so mkuu hao jamaa wako wa 4g mtu akiwa kwenye pc anapata speed ya 125MBps kwenye idm?
 
Chief-Mkwawa nimekupata, hapa ilikua vigumu hata kwangu kuamini kama Tanzania tuna 4G, Mpaka nilipoanza mwenewe kutumia, experience is so Amazing, Downloading and Uploading is totally different, i can do online HD Movies without Buffering. Bandwidth up to 10Mbps
 
Chief-Mkwawa nimekupata, hapa ilikua vigumu hata kwangu kuamini kama Tanzania tuna 4G, Mpaka nilipoanza mwenewe kutumia, experience is so Amazing, Downloading and Uploading is totally different, i can do online HD Movies without Buffering. Bandwidth up to 10Mbps

sasa mkuu 10 mbps hata hspa+ haijafika. But speed nzuri.

Labda ungeshare na sisi mkuu wanauzaje hizo bundle zao maana watu wengi huja humu kuulizia internet zenye speed kama hio.
 
3G/4G hazina hard definition ya data rates ndo tatizo, hakuna international standard ya 3G/4G inamaanisha nini hata hao ITU walioweka 100Mbit/sec( ukiwe kwenye mwendo aka gari) na 1Gbit/sec(Ukiwa umetulia) kama standard wamezikubali spidi za chini zaidi ya hapo kama "4G" kwa vile ni advanced zaidi ya 3G.

Na pia hizi ni rates ambazo mitambo ina "uwezo" wa kukupa sio rates utakazopata in real life kwa sababu nyingi za kiufundi na kibiashara.

Smile nasikia ni nzuri ila tatizo la Smile ni coverage, mpaka sasa hivi wako maeneo haya tu
Msasani
Masaki
Oysterbay
Mikocheni A and B
Bagamoyo Road
Moroko
Kinondoni
Makumbusho
Kijitonyama
Mwenge
Sam Nujoma Road
Coca-Cola Road
Mikocheni Industrial Area
Old Bagamoyo Road
 
Bei zao zikoje? Maana, anyway Vodacom /Airtel by next year wataachia
 
Router Inauzwa 395,000.
Kwa Ofa iliyopo sasa hivi, Router inauzwa 340000.... + 10GB Bundle
 
Router Inauzwa 395,000.
Kwa Ofa iliyopo sasa hivi, Router inauzwa 340000.... + 10GB Bundle


[TABLE="align: center"]
[TR]
[TD="colspan: 3"]SMILE PRICES[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]DATA BUNDLE SIZE[/TD]
[TD]VALIDITY[/TD]
[TD]PRICE (TZS)[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]500 MB[/TD]
[TD]30 days[/TD]
[TD]9, 000[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]1 GB[/TD]
[TD]30 days[/TD]
[TD]16,000[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]3 GB[/TD]
[TD]30 days[/TD]
[TD]36,000[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]10 GB[/TD]
[TD]30 days[/TD]
[TD]100,000[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]20 GB[/TD]
[TD]30 days[/TD]
[TD]150,000[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD]50 GB[/TD]
[TD]30 days[/TD]
[TD]320,000[/TD]
[/TR]
[/TABLE]

Haina tija kama ndo bei hizo, voda 5 GB ni 20,000/= tu.
 
AISEEEEEE!!!!! DUH sasa mimi ntaishije. Maana kwa wiki napita 10gb. Laki ntatoa wapi
 
Ntastick na 3.5G yangu 4mbps inanitosha kama Bei ni izo
 
Kweli kabisa kwa sasa hivi Smile.. coverage yake ni kama ulivyo orodhesha hapo juu, lakini mpaka kufikia Mwezi wa Tatu.. Coverage itakua Dar es Salaam Nzima
 
AISEEEEEE!!!!! DUH sasa mimi ntaishije. Maana kwa wiki napita 10gb. Laki ntatoa wapi

hauko peke yako mkuu, naona bado bado kufikia vigezo vyangu. ikifika Arusha sawa, pia wakiwa na unlimited nadhan I'll try to get on their track.

CC: KhalidM
 
Last edited by a moderator:
ila MB 500 ni 9000 hapo ni kwa ajili ya kusurf tu maana kama sisi tunaopenda kudownload haitufai ni hasara kabisaa...
 
Hakuna mobile itakayokuwa "Unlimited" ya kweli, hata nchi zilizoendelea mobile providers wanaweka limits hata broadband wired providers wa nyumbani wanaweka limits maana watu wamezidi kudownload.
 
Nimesikia Vodacom wameanza ku rollout site za LTE, tayari maeneo ya Masaki na Oysterbay wameanza kuenjoy huduma hii....sijui sisi wa Tegeta huduma hii itatufikia lini.
 
Back
Top Bottom