This is a classic way from uswaz girl,.. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

This is a classic way from uswaz girl,..

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by Kisoda2, Nov 25, 2009.

 1. Kisoda2

  Kisoda2 JF-Expert Member

  #1
  Nov 25, 2009
  Joined: May 30, 2008
  Messages: 1,242
  Likes Received: 136
  Trophy Points: 160
  Uswazi girl is giving directions to her new boyfriend to get to her flat.

  She says: ''You come to the front door of the complex where I live Block 14, and look for unit A. With your elbow push button 14A. Come inside and you'll find a lift on the right. With your elbow hit 14. When you get out of the lift you'll find my flat on the left. With your elbow, hit my doorbell and I'll open the door for you.''

  The boy says: '' Ok Baby that sounds bloody easy to find. But why must I do everything with my elbow huh???"

  Girl says "Hellooo!! Excuuuuse me, you're not coming empty-handed miamore? Eishhh!
   
 2. Kisoda2

  Kisoda2 JF-Expert Member

  #2
  Nov 25, 2009
  Joined: May 30, 2008
  Messages: 1,242
  Likes Received: 136
  Trophy Points: 160
  Directions tu kihindi hindi,... halafu empty handed not allowed duuu!!
   
 3. PingPong

  PingPong JF-Expert Member

  #3
  Nov 25, 2009
  Joined: Dec 21, 2008
  Messages: 933
  Likes Received: 100
  Trophy Points: 45
  hiyo kali mkuu
   
 4. SMU

  SMU JF-Expert Member

  #4
  Nov 26, 2009
  Joined: Feb 14, 2008
  Messages: 7,920
  Likes Received: 2,069
  Trophy Points: 280
  Sasa ataenda na maua au kanga:p!
   
 5. MwanaFalsafa1

  MwanaFalsafa1 JF-Expert Member

  #5
  Nov 26, 2009
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 5,566
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 135
  LOL! This made my day.
   
 6. The Boss

  The Boss JF-Expert Member

  #6
  Nov 27, 2009
  Joined: Aug 18, 2009
  Messages: 37,826
  Likes Received: 22,465
  Trophy Points: 280
  Uswazi hakuna unit a.
  Direction za uswazi,,,
  ukivuka bonde,kwenye kijalala,
  kuna mwembe,baada ya klabu ya pombe za kienyeji,
  n.k.
   
 7. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #7
  Nov 27, 2009
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  Nyumbi hii, bombi hii
   
 8. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #8
  Nov 27, 2009
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,323
  Likes Received: 22,157
  Trophy Points: 280
  vocha..
  simu...
  pafyumu ya gucci,
  na mahela...
  huku nje ukiwa umepaki mkoko wa kuazima...
  hakika kinachofuata ni mikasi na kumuachilia mbali huyo demu mwenye matamaa huku akiendelea kusema mi umri wangu unaenda wala siolewi.
   
 9. Amoeba

  Amoeba JF-Expert Member

  #9
  Nov 27, 2009
  Joined: Aug 20, 2009
  Messages: 3,328
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 0
  fungu2 za mkaa, dagaa wa mwanza na kilo2 za sembe! KWISHA
   
 10. Calnde

  Calnde JF-Expert Member

  #10
  Nov 28, 2009
  Joined: Oct 7, 2008
  Messages: 1,373
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0

  hata lol pop, mradi not empty handed
   
 11. A

  AM_07 Member

  #11
  Nov 28, 2009
  Joined: Nov 7, 2009
  Messages: 74
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  mademu kama hawa hawachelewi kukagua ulicholeta kabla hata hujakaribishwa ukae, wajasiriamali jasiri kila sekta,
   
 12. Gang Chomba

  Gang Chomba JF-Expert Member

  #12
  Nov 29, 2009
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 8,790
  Likes Received: 810
  Trophy Points: 280
  Swadaktaaaar
  Hapa umenena ndugu yangu.
  Elekeza zao utasikia ''bwana chonde chonde usipitie ile njia ya kule ya bondeni, wanakaba kama nini yani, ni bora uzungukie huku kwa biti mwashamba wanaposukuma chapati pale, basi kunja kulia utamkuta dobi halafu kwa mbele kidogo utakuta banda wanaonyesha mapicha, basi we nyoosha moja kwa moja na hako kauchochoro, halafu utakuta mbele kuna chemba iko wazi basi we pinda kushoto mwanakwetu kwa mbele kidoogo utakuta kuna bimkubwa mmoja anasuka suka watu, basi we pita, nyoosha moja kwa moja utakuta kibao cha mganga, halafu kwa mbele utakuta bito limekongoloka halafu kuna mfereji wa maji machafu, basi fuata hayo maji yanapokwenda mi ntakuona''

  Inahusu?
   
 13. Tripo9

  Tripo9 JF-Expert Member

  #13
  Nov 30, 2009
  Joined: Sep 9, 2009
  Messages: 2,168
  Likes Received: 65
  Trophy Points: 145
  Hahahahahaaaa! Hii ime2lia mkuu
   
 14. Kimbweka

  Kimbweka JF-Expert Member

  #14
  Nov 30, 2009
  Joined: Jul 16, 2009
  Messages: 8,608
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  Kazawadi muhimu
   
 15. Kunta Kinte

  Kunta Kinte JF-Expert Member

  #15
  Nov 30, 2009
  Joined: May 18, 2009
  Messages: 3,660
  Likes Received: 215
  Trophy Points: 160
  Du! demu wa Uswazi umuendee na maua, atakutoa baruti!
   
 16. M

  Matumaini Member

  #16
  Nov 30, 2009
  Joined: Jul 31, 2008
  Messages: 49
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 13
  Hata akienda na movie ya kibongo kama za akina Kanumba, kwa watoto wa uswazi dili sana
   
 17. Gang Chomba

  Gang Chomba JF-Expert Member

  #17
  Dec 2, 2009
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 8,790
  Likes Received: 810
  Trophy Points: 280
  Tena ukimpelekea movie kibongo iwe VHS...
  au kama ni movie ya kitasha iwe iliyotafsiliwa kwa kiswahili
   
Loading...