Mimi namuona kma failure president alikuwa na maono mazuri sana sana kwa nchi yake Ila aliaribu pale tamaa ilipoanza kumsukuma hasa wapambe walipopata nguvu ya ushawishi ndani yake.
Kutengeneza upendeleo wa kikabila, keki ya nchi kuliwa na wachache, kuaribu mfumo mzima wa ajira nchini kuanzia serikalini hadi sekta binafsi,kujali Maendeleo ya vitu kuliko maendeleo ya watu