This Damned Country!: Nyerere's Forgotten Speech


Mkuu wa kijiji
Halafu mtu kama faiza anabwabwaja mbele yako?. Asante kwa elimu hii.
 
Mobutu hadi anaondolewa ... isipokuwa Banda (Rais wa Maisha) na Obote ( Uganda ilikuwa na vyama vingi) walikuwa wanajeshi. Unathubutu kumweka Mwalimu kundi hilo kweli?
Sawa, kama tusimweke Nyerere kwenye kundi hilo la kina Banda, Obote, Mobutu, Bokassa, Babangida basi tusimpime Nyerere kwa mizani hiyo ya wakati ule kwa kuseme "hakuwa peke yake." Unapojitetea kwa kusema sikuwa peke yangu maana yake una plead guilty.

Ndio maana nikasema kama uetetezi wenyewe ni kwamba wakati ule Afrika ilijawa na watawala wa mikono ya chuma basi nakubali kwamba Nyerere alikuwa autocrat kama wenzake wakati ule kina Banda, Babangida, Bongo, Bare, Bokassa, Biya, Bashir, Bozize.
 

Hiyo argument yako ni too simplistic aisee. Lazima uwe na uwezo wa kweli wa kuchambua hoja na mambo kiusomi kulingana na mazingira ya kisiasa ya wakati ule. Kama huna elimu au upeo wa kutosha wa kufanya hivyo, basi ni bora ukae kimya tu. Besides, huwezi kumuweka JKN na group la akina Mobutu, Obote, Babangida, Abacha, Siad Barre, na huo upupu uliyoanishia hapo juu. Huo ni upotoshaji tu, na ni wazi kwa kufanya hivyo tayari unaonyesha biases zako zipo wapi.
 
Unadai argument yangu ni too simplistic halafu na wewe unaongea ki shalow shalow tu. Mazingira ya kisiasa ya wakati ule ndio nini? Eleza. Kwamba madikteta walikuwa wengi sana kwa hiyo autocracy ya Nyerere ilikuwa inakubalika? Huo ndio unaita uchambuzi wa kisomi? Kama wewe unajiita msomi na mchambuzi yataje hayo mazingira ya kisiasa yanayo justify autocracy.

Kama mazingira ya kisiasa ya wakati ule hayakuruhusu democracy mbona vyama vingi vilikuwepo? Nyerere alikuta vyama vingi akavifuta, hivyo kumpa credit kwa kuruhusu vyama vingi alipotoka ni kui rape tume ya Nyalali inayostahili commendation for recommending political pluralism in Tanzania even though the antediluvian majority favored status quo.
 

Uanze wewe kwa kuelezea sifa zote (mazuri na mabaya) na kutoa tathmini yakinifu ya "autocracy ya Nyerere". Ainisha mazuri na mabaya ya utawala wake wote kulingana na vigezo vya mazingira ya kisiasa ya wakati ule ukitilia maanani siasa za vita vya baridi kati ya Marekani na USSR, ideologies mbalimbali zilizotowala enzi zile na harakati za ukombozi za nchi za kusini mwa Afrika. Kuhusu suala la "demokrasia" na Vyama vingi, hiyo ni value judgement tu na ideal au imani inayotegemea muelekeo fulani wa mtu kisiasa kama vile ideologies za Ukomunisti, Usoshalisti, na hata Ujamaa vilivyokuwa maarufu enzi zile na siyo kitu ambacho its out there and is objectively attainable.
 

Sorry for late reply, but i agree with you. You are right on. Hii hapa ndio basis ya ufisadi uliopo sasa ivi.
Lakini kwenye point yako ya viongozi kuwafanyia kazi wananchi vs rais, je political structure ya nchi kwa sasa ipoje? Nadhani kwa sasa watendaji wote wapo answerable to the president au Chama tawala.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…