This country is so beautiful....

This country is so beautiful....

Hao ni asilimia 1 tu ya watu wote Tanzania... Asilimia 99 wanaishi kama mashetani...


Cc: mahondaw
 
Nipo sehemu natazama mpira, pembeni yangu wamekuja kukaa vijana watatu umri kati ya 25-28 hivi.

Kwa kuwasikiliza accent ya ninegundua ni waUganda. Hawa vijana nahisi wanafanyakazi kampuni moja ya mafuta, nimeona mmoja kavaa tshirt yenye nembo ya hio kampuni.

Aisee hawa vijana muda wote maongezi yao ni kusifia maisha mazuri Tz na wanavyosafiri mikoa yote ya Tz kikazi. Wanasifia sana barabara zetu hasa nyanda za juu kusini. Na nikiwaangalia naona kabisa watakuwa wanalipwa vizuri.

Sasa wewe kijana wa kiTz endelea kulalamika mitandaoni nchi mbaya haina ajira blah blah wakati wageni wanakuja na kupata kazi na kuishi vizuri.
Hongera kwa Habari hiyo. Hata hivyo bado watu humu watapingana na wewe!
 
Kama wamesifia barabara zetu, inamaanisha ni bora kuliko za kwao.. Hiyo si hoja mkuu, waweza ukawa wa 99 katika list ya watu 100 na ukajisifia kuwa hujawa wa mwisho katika list husika.. ila in fact we bado umeshika number of shame in tie list.. Don't boast over trivial matter like this.
 
Hahahaha ina maana kumbe sisi tuna nafuu kuliko UG
 
Wewe ni sawa na nkamia anaye chukua Rwanda kama mfano "bora" wakuiga
 
Back
Top Bottom