Ndogo sana hzo. Jamaa huyo hajaupdate mda mrefu sana. Simshauri hata ku update from settings atatumia data kubwa sana. Bora akadownload latest iso ya windows (kma 4.8GB hv) then afungue ndani ya windows ndio i update hvoupdatw hio window hakikisha una kama gb 2
Hapo sihakuelewa nikishadownload iso ndio na update vipiNdogo sana hzo. Jamaa huyo hajaupdate mda mrefu sana. Simshauri hata ku update from settings atatumia data kubwa sana. Bora akadownload latest iso ya windows (kma 4.8GB hv) then afungue ndani ya windows ndio i update hvo
Unaifungua. Kuna file la setup. Fungua hlo utaweza ku updateHapo sihakuelewa nikishadownload iso ndio na update vipi
I think afanye Upgrade tu, it will be painful ila atapata latest zaidi compared to akidownload ISO,Ndogo sana hzo. Jamaa huyo hajaupdate mda mrefu sana. Simshauri hata ku update from settings atatumia data kubwa sana. Bora akadownload latest iso ya windows (kma 4.8GB hv) then afungue ndani ya windows ndio i update hvo
Tatizo kama langu tu, inaandika cant connect to this network, enter APN,, Mi nimegundua ni tatizo la window yenyewe, tusubiri updates itakaa sawa tu ila uta-update kwa wifi kwanza, jitahidi uwe unacheck for update at least daily.Mimi shida ni hii, nimeweka window 10, nilipoweka moderm nikafanya setup zote, lakini bado inagoma ku CONNECT tatizo ni nini?
Hata aki download iso atapata latest. Download iso kupitia website ya Microsoft sio site zingineI think afanye Upgrade tu, it will be painful ila atapata latest zaidi compared to akidownload ISO,
Update? .si update ndio maana walimkamata.hapo akanunue keys mpya za window ni kama elf 50Jaribu kuupdate. Kama hujafanya.
Kama keys anazo sio issue. Ukiapdate hio message inatoweka. Huwa nafanya hivyo mimi. Message kama hio ikija.Update? .si update ndio maana walimkamata.hapo akanunue keys mpya za window ni kama elf 50
Tengeneza apn mpya alaf hakika dial up number ni *99#Tatizo kama langu tu, inaandika cant connect to this network, enter APN,, Mi nimegundua ni tatizo la window yenyewe, tusubiri updates itakaa sawa tu ila uta-update kwa wifi kwanza, jitahidi uwe unacheck for update at least daily.