This Build of Window will expire soon

mwilawi

Senior Member
Oct 13, 2013
109
225
Naomba msaada, PC yangu ni Windows 10 Pro lakini kwa sasa inaniandia ujumbe unaosema this build will expire soon.

Sijui chakufanya
 
racka98

JF-Expert Member
Jul 7, 2020
1,045
2,000
updatw hio window hakikisha una kama gb 2
Ndogo sana hzo. Jamaa huyo hajaupdate mda mrefu sana. Simshauri hata ku update from settings atatumia data kubwa sana. Bora akadownload latest iso ya windows (kma 4.8GB hv) then afungue ndani ya windows ndio i update hvo
 
mwilawi

Senior Member
Oct 13, 2013
109
225
Ndogo sana hzo. Jamaa huyo hajaupdate mda mrefu sana. Simshauri hata ku update from settings atatumia data kubwa sana. Bora akadownload latest iso ya windows (kma 4.8GB hv) then afungue ndani ya windows ndio i update hvo
Hapo sihakuelewa nikishadownload iso ndio na update vipi
 
Extra miles

JF-Expert Member
Apr 18, 2018
2,075
2,000
Ikiseka hivyo inakutaka kuactivate hiyo windows maana key wanazotupatia ni za siku 180 tu, na baada ya hapo unaiupdate mambo yanaenda sawa.
 
Hong25

JF-Expert Member
Dec 9, 2012
1,395
2,000
Ndogo sana hzo. Jamaa huyo hajaupdate mda mrefu sana. Simshauri hata ku update from settings atatumia data kubwa sana. Bora akadownload latest iso ya windows (kma 4.8GB hv) then afungue ndani ya windows ndio i update hvo
I think afanye Upgrade tu, it will be painful ila atapata latest zaidi compared to akidownload ISO,
 
nkumbison

JF-Expert Member
Sep 22, 2013
1,930
2,000
hapo ushauri install latest vision of Win.. maana kuna za mwanzo hazikubali update hata manual hadi uinstall mpya.. nilikua na ya 2015 ila ilinigomea update mpaka nilipoweka ya 2019 ndio inapoiea update mpya mpaka hizi za mwezi wa Tano..
 
minzemanonu

Senior Member
Nov 15, 2015
131
250
Mimi shida ni hii, nimeweka window 10, nilipoweka moderm nikafanya setup zote, lakini bado inagoma ku CONNECT tatizo ni nini?
 
Baba Nla

JF-Expert Member
Nov 21, 2018
318
1,000
Mimi shida ni hii, nimeweka window 10, nilipoweka moderm nikafanya setup zote, lakini bado inagoma ku CONNECT tatizo ni nini?
Tatizo kama langu tu, inaandika cant connect to this network, enter APN,, Mi nimegundua ni tatizo la window yenyewe, tusubiri updates itakaa sawa tu ila uta-update kwa wifi kwanza, jitahidi uwe unacheck for update at least daily.
 
racka98

JF-Expert Member
Jul 7, 2020
1,045
2,000
I think afanye Upgrade tu, it will be painful ila atapata latest zaidi compared to akidownload ISO,
Hata aki download iso atapata latest. Download iso kupitia website ya Microsoft sio site zingine
 
racka98

JF-Expert Member
Jul 7, 2020
1,045
2,000
Tatizo kama langu tu, inaandika cant connect to this network, enter APN,, Mi nimegundua ni tatizo la window yenyewe, tusubiri updates itakaa sawa tu ila uta-update kwa wifi kwanza, jitahidi uwe unacheck for update at least daily.
Tengeneza apn mpya alaf hakika dial up number ni *99#
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom