Thinking Critically: Kwanini Rais Magufuli hajaenda Simiyu kuzima mwenge?

Kama ni kubana matumizi output ya kubana matumizi ni nini?
 
Chadema wana laana ya kubadili gia angani na kuwasaliti wana mabadiliko ya kweli kwa kuuza chama kwa Mafisadi.

Kafulila usiende huko akili zitadumaa kama za bavicha
 
Chadema wana laana ya kubadili gia angani na kuwasaliti wana mabadiliko ya kweli kwa kuuza chama kwa Mafisadi.

Kafulila usiende huko akili zitadumaa kama za bavicha
Bavicha inaingiaje hapa?....

Hoja ni Rais kwenda kuzima mwenge sio bavicha!!
 
Halafu kwa kumdharu sh..ei..n kazuia viongozi wa kitaifa wasimpokee Na kushirikiana naye kwenye shughuli hiyo....yaani amehakikisha anampa shughuli yenye hadhi ya mkoa kama ilivyo kwa zanzibar ambayo Ni mkoa kama Simiyu.
By the way, Hili limwenge Lina tija gani kwa Taifa?
 
Kwasababu Simiyu ni karibu sana na Kagera, na mtan wangu hataki kwenda Kagera mpaka pale atakapo maliza kukusanya michango..!!

Nadhan .............!!
 
Doh...mkuu mpinzani yupi alisema hivyo!!!!!!!?
 
Ilitangazwa atauzima rais Dr JPM. Na kwa vile ana uelekeo was Julius, ingekuwa safi sana. Ila labda kaangalia vipa umbele
 
Haaaah very frustrated mkuu
 
Kwa ulivyoandika ndio unadani watakoma!? Zaidi sana unanukia harufu ya udas, kama sio kaliba hiyo ya uteuliwa.
PLEASE BEHAVE WHEN YOU ARE IN PUBLIC
 
Yaa itamsaidia sana maana anaweza kuambiwa alipatikana kutokana na mchakato wa ubakaji na hatachukulia seriously. (asije anza kuwaza "sijui mdingi ni Scorpion au!!?)
Kimsingi umempa somo kubwa sana.
Kijana na Mimi silipwi chochote lakini nakushauri penda kusikia usiyoyapenda masikioni mwako.....
 
Kwa maoni yangu mimi nadhani Mheshimiwa rais Magufuli ameamua kumpa heshima Dr. shein ndiyo maana yeye hajaenda huko.
 
Wewe MB.wa hilo ndo jibu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…