Think before you act

The Bleiz

JF-Expert Member
Jan 7, 2012
5,062
13,461
Japo imekaa kiutani utani ila kuna la kujifunza.
IMG_20200923_193016.jpg
IMG_20200923_193027.jpg
IMG_20200923_193038.jpg
IMG_20200923_193048.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
😂😂😂😂😂 itambidi abadilishe tu hakuna namna Ila Kuna watu wana mahaba ya ovyo...mfyuuuu.
 
Kuna jamaa alichora sura ya dem wake kifuani
Na akaandika Jina lake mkononi
Siku dem alikuja mpiga chini jamaa jamaa a alipagawa

Ova
 
Msaada Anaejua sehem wanapo chora haya madude mbeya mjin naomba anistue nataka nichore jina la b mkubwa wng
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom