Msamiati
R I P
- Mar 6, 2011
- 1,063
- 700
Nimejivuta sana kuandika hii post na mpaka namaliza kuandika line hii ya kwanza bado sijapata wazo sahihi ni wapi nianzie ili kitu ninachotaka kusema kieleweke.
Tafadhari! kabla hujasitisha kusoma ondoka na wazo hili, Tayari umesha wekeza pesa za kutosha kwenye biashara, umewekeza muda mwingi akili na jitihada, moyoni ukiwa na imani ya mafanikio makubwa kupitia biashara hiyo. Nafahamu kuwa, Ulishafikiria sana kuwa biashara yako inaweza kukupa faida au hasara kiuchumi, lakini nasikitika wengi wetu hatujawahi kufikiria kwamba biashara pia inaweza kukuangamiza kiafya. Trust me, biashara nyingi zimekuwa ticketi za kuwatanguliza Wafanya biashara kaburini. ninauhakika kuwa mpaka 75% ya wafanya biashara wanaopoteza maisha zaidi ya 50% ya vifo vyao ni matokeo ya biashara walizokuwa wakifanya. Wewe Umejiandaje......? Unatoa muda gani kila wiki kujifunza na kujiendeleza katika mbinu mbali mbali za kuhakikisha biashara yako inakuletea positive impact kiuchumi na kiafya. Ni masaa mangapi unayatumia kusoma vitabu, masaa mangapi inayatumia kuhudhuria semina mbalimbali za mafunzo ya biashara, masaa mangapi unayatumia kujifunza kutoka kwa wafanya biashara wengine, masaa mangapi unayatumia kuomba na kumshukuru mungu kwa vichache alivyokupatia. kama unatumia Atleast saa moja kwa wiki Basi amini usiamini mafanikio kwenye biashara yako yanawezekana.
Ok, huo ulikua ni utangulizi tu kwa wafanya biashara ambao mara nyingi hudai wapo bize, ni kama vile dereva mzuri ambae hana muda wa kutizama mafuta, wala hajali ukarabati wa gari yake, yeye muda wote yupo bize na kuendesha inafurahisha........!
Nimevuta keyboard kuandika post hii baada ya kusoma post za wanajamvi wengi wakilalamika juu ya tatizo la kutopata wateja kwenye biashara zao. Najua kuna fact nyingi zinazotaka kujumuishwa pamoja ili kujenga wigo imara wa wateja. Let me share one Of them, and Before doing that ningependa niseme jambo moja. Bila kujali kuwa kwenye kampuni yako unauza huduma au bidhaa naamini kuwa hakuna mtu anaetoa huduma ya kuvalisha watu viatu wala mtu anaeuza maji ya bahari, naamini kuwa watanzania tuna ubunifu wa kutosha wa biashara kila mmoja kwenye biashara yake anauza huduma ambayo watu wanahitaji, au anauza bidhaa zinazotakiwa na watu. Tatizo letu sisi ni ubunifu wa kufanya biashara na tunakosa ubunifu kwa kutokuwa tayari kujifunza, kutokuwa tayari kujiendeleza, kutotumia muda vizuri. Mimi ni mpenzi sana wa Games mbali mbali, napenda draft, napenda karata napenda Video games, Lakini moja kati ya game ninalopenda zaidi is Doing Business.
Ninapofanya biashara nahisi kama nacheza draft au naplay mission ya GTA V, inanipa raha na kunichangamsha mwili na akili. Hivyo natoa muda wa kutosha kwenye biashara kujifunza na kuifanya kwasababu naifanya for funny & for Life, Tatizo letu ni kwamba, Watu wengi tumekuwa tukifanya biashara kwa muujibu wa maandiko, ninaposema kufanya biashara kwa muujibu wa maandiko namaanisha kufanya biashara kama adhabu mungu aliyoitoa baada ya mwanadamu kula tunda kwenye bustani ya edeni mungu akamuadhibu kwa kusema "kwa kuwa umekula tunda nililo wakataza basi mwanadamu utakula kwa jasho siku zote za uhai wako". Unafanya biashara kwa ghadhabu na jazba, mishipa inakutoka painfull mpaka unarudi nyumbani hata ukiambiwa mguu upande unashinda kunyanyua, Nooooooooooooooooooooo biashara haipo hivyo, na ukiona huwezi kubadilika ujue kufanya biashara is a wrong option kwako. Tafuta mtu mwenye mapenzi na biashara mpe aiendeshe wewe itakuua kwasababu badala ya wewe kuendesha biashara biashara inakuendesha WHATS HAPEN!?
Theres are thousands of customers for your Business. Jifunze vitu viwili tu, Jifunze jinsi ya kuwapata and how to mantain them.
Think about your Next Customer, your next Prospect, Mistake kubwa niliyowahi kuifanya katika miezi yangu ya awali kama Marketing Excecutive ni kutafuta wateja nisio wajua. ngoja nikwambie kitu, Mfumo wa utafutaji masoko ambao ni dhaifu na ulioshindwa kabisa kufanya kazi duniani ni ule ambao kitaalamu wanauita Door to door, mfumo ambao watu wa masoko huenda moja kwa moja kwa mteja kwa ajili ya kumshawishi atumie bidhaa au huduma yako. mfumo huu umefeli kabisa kwasababu unawapeleka watu wa masoko kwa mteja ambae kwanza hawajui lakini pia wanamfata mteja ambae nae hawajui. Ipo hivi...... kama wew ni moja ya watu ambao wamemuagiza secretary asiruhusu watu wa masoko kuingia ndani, Basi ukae ukijua kuwa na watu wako wa masoko hushindwa kukutana na wahusika kwenye ofisi wanazoenda. na hivi ndivyo hali halisi ilivyo.
Hakuna uchawi, waganga wenyewe wanaandika mabango ya matangazo ili kupata wateja, wala hawazitumii hizo dawa zao kuwavuta kimiujiza, tatizo ni mipango tu. Develop prospect Database, and Take enough time to Understand your Prospects Kabla hujanyanyua miguu yako. Kama Prospect wako ni kampuni basi chukua muda kuijua hiyo kampuni, Jua nani mmiliki, nani anaeisimamia, nani meneja, vipi kuhusu Contact zao. unatakiwa ufahamu nani mhusika unaeweza kuonana nae, ni mtu wa sifa zipi, je ukimuomba mkutane nae kwa ajili ya mazungumzo ya kibiashara wapi patamvutia, Bar au Garden? siku nzuri itakua ni siku gani! Weakend au J/4 baada ya kazi. Sio unakurupuka saa 7 mchana mtu ametingwa na mambo kibao hata nafasi ya kwenda lunch amekosa halafu wewe kurupu tiii mpaka ndani, Goodmorning Sir, kumbe mtu mwenyewe hajui hata kingereza unacho mletea!

IF YOU CANT CHANGE THE WAY YO DO IT YOU CANT CHANGE IT YOUR BUSSINESS IS POSSIBLE UKIACHA WENZIO WATAIFANYA KWA MAFANIKIO MAKUBWA.
Mimi naomba niishie hapa kwa leo.