Things you didn't know about Zanzibar

Things you didn't know about Zanzibar

This is very strange and amaizing,I think your are day dreaming!!
 
yakheeeeeeee do
u know that
before your mum
married your dad
she was a commercial
sex worker,and
do you know that
she still secretly
conduct the same
business so that you
and your siblings can
survive! And do u know
that all your sisters
are good followers
of their mothers path...

nyambaaaf next tym think b4
u post your stinking crap!
 
Wow....Historia mpya ya bara na visiwani...wapi ilikuwa hii
 
Hivi tujuze bibie,hawa wa Oman na Zenjbar walikuwa waarabu au waafrika?
Na walikuwa na origin yao hapo unguja au walikuwa wa kuja na kutawala tu.
Hebu tueleze zaidi bibie,WALIOPINDULIWA mwaka 1964 walikuwa watu gani?.
KIKUBWA zaidi WEWE Faizafoxy , mswahili titii babu zako walikuwa WATWANA wa familia ipi ya kiarabu, tujuze tu!

Kweanza uelewe kuwa Uarabu ni lugha, Uafrika ni ukontinenti, kwa hiyo unafananisha vitu viwili tofauti, kama vile kufananisha ndimu na ndizi.

Zanzibar kama ilivyo miji ya pwani za Afrika Mashariki, ilipokea wageni kutoka dunia nzima, na ukumbuke hii mipaka uijuayo leo, ilitengenezwa na wakoloni wa uropa, mipaka ya enzi za utawala wa Zanzibar haikuwa kama ilivyo sasa. Na mipaka ya himaya za watu wa Pembe (Dhul karnein) haikuwa kama ulivyokuja utawala wa Zenj Empire. Sijui upo hapo ulipo?

Nadhani tatizo kubwa ulilo nalo ni kutokuijuwa vizuri historia.
 
Kweanza uelewe kuwa Uarabu ni lugha, Uafrika ni ukontinenti, kwa hiyo unafananisha vitu viwili tofauti, kama vile kufananisha ndimu na ndizi.Zanzibar kama ilivyo miji ya pwani za Afrika Mashariki, ilipokea wageni kutoka dunia nzima, na ukumbuke hii mipaka uijuayo leo, ilitengenezwa na wakoloni wa uropa, mipaka ya enzi za utawala wa Zanzibar haikuwa kama ilivyo sasa. Na mipaka ya himaya za watu wa Pembe (Dhul karnein) haikuwa kama ulivyokuja utawala wa Zenj Empire. Sijui upo hapo ulipo? Nadhani tatizo kubwa ulilo nalo ni kutokuijuwa vizuri historia.
uhandisi na historia wapi na wapi?
 
Nazjaz, umesahau na haya;
Zanzibar kabla na baada ya uhuru ilikuwa na njia za reli,
Mwalimu (RIP) akazing'oa na kuzihamishia bara.
Zanzibar ilikuwa na mbuga za wanyama,
Mwalimu akawahamishia Serengeti na Mikumi.
Zanzibar ilikuwa na maprofesa waliobobea,
Mwalimu akawahamisha wafundishe bara.
Zanzibar ilikuwa na vyuo vikuu kadha wa kadha,
Mwalimu akavifunga vyote na kuanzisha UDSM.
Zanzibar ilikuwa huru chini ya Sultani Rhamshid Ibn
Abdullah, Mwalimu akafanya njama na kumng'oa.
Bahati Wazanzibari wamepata mkombozi mpya
Kwa jina Jakaya Mrisho Kiwete na uhuru uko njiani.
Lazima tuhakikishe haya yanaingia Wikipedia
Na historia mpya ya Tanzania inaandikwa, loo !
Kaaaaaaaaazi kweeeli kweeeeeeli !

I’m speechless
 
Back
Top Bottom