Bibie huwa nakuheshimu sana kwa michango yako , lakini katika hili la pumba , kulisapoti unaonekana hamnazo vile vile.
umechelewa sana kutambua kuwa FAIZA FOXY ni hamnazo
Nahis Zanzibar will be better off economically kama itakuwa nchi huru. Mimi nadhani tuawalostisha tu
jamani swala la dhahabu munalipotosha. Watu wa uchumi hebu nisaidieni nchi inakua na hazina ambayo hukaa bot. Nchi zote duniani hua na kiasi cha dhahabu kama hazina haijalishi migodi ipo au haipo. Mfano nchi yenye dhahabu nyingi marekani ina migodi mingapi?? Na ndo mana watu wakataka dhahabu itumike kupima kama hela yashuka au yapanda thamani
Marekani ina migodi mingi sana ya dhahabu na inanunua na kuzalisha dhahabu nyingi sana!jamani swala la dhahabu munalipotosha. Watu wa uchumi hebu nisaidieni nchi inakua na hazina ambayo hukaa bot. Nchi zote duniani hua na kiasi cha dhahabu kama hazina haijalishi migodi ipo au haipo. Mfano nchi yenye dhahabu nyingi marekani ina migodi mingapi?? Na ndo mana watu wakataka dhahabu itumike kupima kama hela yashuka au yapanda thamani
Si kweli kwamba Zenj itakuwa better off! Kinyume chake magaidi wa Somalia na kwingineko watahamia Zenj na wataanza kuleta vurugu za ajabu! Hivyo itakuwa ni ndoto kuona maendeleo unayoyafikiria wewe, Zanzibar itakuwa mithili ya Somalia, a failed state!Nahis Zanzibar will be better off economically kama itakuwa nchi huru. Mimi nadhani tuawalostisha tu
Kwa wanywa kahawa hiyo ni big story ndugu, huwezi kuwabadili mawazo!Do you know that zanzibar fully funded the 1982 war against idi amini? what a shame! total lies, there was never such a war during that year, you erred my dear idiot! and for that case i consider your whole thread is a cooked shit! ushuzi mtupu...
Zanzibar haikuwa na dhahabu tani 5000! Msilete utani wandugu!Libya hawana gold lakini we si uliona reserve waliokuwa nayo
Sasa ulitaka ni support kuwa mtu mwenye migodi tu ndio mwenye dhahabu?, Unanchekesha! leo Tanzania ni nchi ya tatu katika Africa kutoa dhahabu kwa wingi, hebu niambie tuna reserve ya dhahabu (treasury yetu) kiasi gani? Haiingii akilini kuwa Zanzibar ilikuwa ina dhahabu tani 5,000. Tani elfu tano za dhahabu ni nyingi sana kiasi hata nchi tajiri nyingi tu hazina hazina ya dhahabu kiasi hicho.
Nilikuwa naongelea kutokuwa na migodi hakumaanishi kutokuwa na dhahabu.
Nchi ya kwanza Afrika kuwa na umeme, taa za barabarani, balozi za nje? Je, South Africa, Egypt, etc vitu hivyo havikuwepo? Na kuhusu umeme kwa nini hawalipii umeme wa Tanesco, wanavuna wasipopanda?Huo ni ukweli usiopingika, Zanzibar walikuwa wanaenda vizuri sana kabla ya muungano, ilikuwa shule uende wewe tu, kila kitu bure. Nchi ya kwanza afrika kuwa na umeme, nchi ya kwanza Afrika kuwa na Taa za barabarani, nchi ya kwanza afrika kuwa na ubalozi wa nchi za nje. Zanzibar ina firsts nyingi kabla ya muungano na lasts nyingi baada ya muungano.
Kumbe habari yenyewe imetokea Mzalendo?Hii habari source yake hapanshaka ni ál Qaeda fanatics, nimeiona kule Mzalendo and I did n't waste my time with it.