Wape wape vidonge vyao....wakimeza wakitema....ni shauri yao.....misss you my dear! :yo:
hapo ndio point yangu......sasa utakuta wengine wakiwa wana period wanakuwa wakali utadhani mimi ndio nimesababisha period, hata kiss hupewi!!
hapo ndio point yangu......sasa utakuta wengine wakiwa wana period wanakuwa wakali utadhani mimi ndio nimesababisha period, hata kiss hupewi!!
hapo ndio point yangu......sasa utakuta wengine wakiwa wana period wanakuwa wakali utadhani mimi ndio nimesababisha period, hata kiss hupewi!!
hah ahhah michelle sema mama vp pande io?anko obama ajambo?
ahh awa magubegubeaily naona wameamka nazo leo...ngoja tutambaenao MZH moja....nipe nikupe...niguse kwa bahat mbaya nikukanyage kwa makusud...et wanawake wananuka mhh jamn kuna mkaka uyo tulikuwa tunasoma nae jaman ata km akisimama km 10 toka ulipo unaipata habar yake yan anatema hatar...boksa inanukaaaaaaaaaaaaaaa rang ya bluu ahhh..asitake nimchambe nikimchamba atalia...na leo nataka nikaungame so boflo asitake uchokoz akanifanya nikapewa sala za malipiz nying...chtakkkkkkkkkkkk mie...:nono:
Umenikumbusha mkaka nilisoma nae chuo, alikuwa ananuka mdomo, boksa, viatu, kwapa nadhani na makalio! Afu wadada wawili wanamgombea! Mate wake alihama, wadada wakahamia wote 2 room kwake. Sijui mitala ya vile ilikuwaje kupanga zamu! Nikikutana nao wallah ntawauliza manake umbea unanikereketa!
km ungekuwa mwanaume kamili ungejua ninin kinasababisha anune.awe mkali....lakin kwa vile UNGALI U MVULANA HAUTAWEZA KUJUA NA UTABAK KULALAMA TU DEMU WANGU AKIWA PERIOD ANAKUWA MKALI....
ushauri;KAA NA KAKA ZAKO WAKUELEKEZE MECHANIC YA MWANAMKE NA JINSI YA KUIDRIVE
lazima uyo mwanaume awe mwanaume m.j.inga bin m.p.umbavu...sasa utakasirika nin kuambiwa period?
ujui nature ya kike?
mwanaume ni akili na uelewa kinyume na apo ni bora atangulie wedng bells akachague shela
unanipa darasa zuri...
wanawake mko complicated sana.....
Wengi wenu ni wasanii sana, na ndio maana inakuwa vigumu sana kuwa trust wanawake
NIONYESHE TUSI APO?mdogo wangu, bado hujaacha matusi yako ya reja reja mpaka leo....................?
mmmh kama cja elewa kdogo kushika mic ndo kufanya nini.....panapo red bwanakaka inaaplly kote
inategemeana na usafi wa mtu awe wa kike au kiume bt u cant sema wanawake wananuka woote
thats kuna mijianaume inanuka sana chn...boksa afui...boksa moja wik 2 na joto ili then njimbi anataka ushike mic...
Hujanijibu. Signature si nilisoma? nataka kuelewa why sasa.View attachment 51103
..............................
Hujanijibu. Signature si nilisoma? nataka kuelewa why sasa.
Nimekuuliza coz kuna mtu wa karibu ana misemo hiyo siku hizi.
I am worried, I hope mtu yule sio Boflo wa JF kwa kweli. lol