Hawafanyi na madhehebu mengine!!!
Hivi kuna mtu alisema mwanaume hafai kusema sheedah, huwa ni maana gani kusema hivyo?
And you presume everybody watches tv series? And top gear?
aaagh!
halafu dissertation sio reading, ni studying
Hahahahah....kumbee..
internet
sexting
Mh! Kuna sehemu nimesema ni reading? Nilichosema kuhusu reading na vitu nilivyo mention ni tofauti my dia ndio maana nikaanza in a new paragraph.I don't read at all and so do most of Tanzanians
Sasa mbona mambo yao ni yale yale.... Kamasutra mafundisho yake ni hayo hayo tangia enzi na enzi.
Welcome where?! To watch Kamasutra every night... No thank you....
na ndio mimi nakukatalia, kwa sababu wewe unapenda kuangalia series usi-assume kwamba watanzania 80% hawapendi kusoma. Infact some of us tunajutia hii mitandao na masimu ya kisasa (isingekuwa convinience ya emails ningepaswa kuwa na simu ya tochi tu). Kutwa nzima tunasogoa kama waswahili wa pwani kabisa. Mie nnayekaa ofisini kutwa niko whatsup, viber, jf, na fb na telegram sijui nini, sina tofauti na mwanamke wa magomeni migo migo aliekaa kibarazani na khanga moja akipiga stori na majirani zake.
mitandao imeiba muda wetu wa kusoma aisee! i used to read a book a week:angry::angry:
kumbe na wewe ni expert mwenzangu
hivi ule mjadala wa menengitis uliishia wapi unajua siku ile ilikuwa mbaya sana aiseeee
hawa ndugu zetu hawa kaka ukiwachokoza hawakubali kushindw
Mmnh...sina uhakika kuhusu kuwa expert but I know its content vizuri tu.
Utanipooonzaaa!!!!
hivi ule mjadala wa menengitis uliishia wapi unajua siku ile ilikuwa mbaya sana aiseeee
hawa ndugu zetu hawa kaka ukiwachokoza hawakubali kushindw