Things that keep you up at night...

Session ya morning glory imeshaisha. Will take a nap then shower and kick off. Leo namdekea paw anipeleke kazini.

una swali ama suala la nyongeza?

Sina mkuu, nakumbuka ile comment yako khs kulamba dushe na papychi loh we noma sana
 
Hahaha, hazilambwi bali zinafyonzwa. Hilo ni suala la nyongeza, usiseme huna suala wakati unalo.

(hata sikumbuki hiyo comment bwanaa, leta ushahidi unanisingizia. Mie msabato ujue, sifanyagi zambi)
Sina mkuu, nakumbuka ile comment yako khs kulamba dushe na papychi loh we noma sana
 
duu mipango! yani ikifika usiku nakuwaga na mipango ya maisha had usingiz unapaa,Mungu nsaidie ndoto zangu zitimie.

Wewe na mimi hatutalala kamweeee!!!!!!

Lakini ni nzuri sana, ila uwe unaandika sasa yale unayoona yanawezekana kuliko mengine kwa muda na rasilimali zilizopo!!!
 
Hahaha, hazilambwi bali zinafyonzwa. Hilo ni suala la nyongeza, usiseme huna suala wakati unalo.

(hata sikumbuki hiyo comment bwanaa, leta ushahidi unanisingizia. Mie msabato ujue, sifanyagi zambi)

Ntakuchek pm
 
Kutoa pesa nyingi next morning, hili bhana likija usiku basi kumenuka tayari!!!!!
Sijui shetani wangu kwa nini anapenda "retention scheme" labda uzeeni ataacha hii kasumba!!!!!!
 
hahah ..lmao
japo cjakuelewa

Hope wewe ni Ke; Spinster ni mwanamke "mtu mzima" anayekaribia menopause ambae hayawahi kuolewa au hajawahi pata mtoto...
sasa inakuwa lonely usiku??
 
Last edited by a moderator:
Hahaha, hazilambwi bali zinafyonzwa. Hilo ni suala la nyongeza, usiseme huna suala wakati unalo.

(hata sikumbuki hiyo comment bwanaa, leta ushahidi unanisingizia. Mie msabato ujue, sifanyagi zambi)

mmmm, kumbe wasabato hawafanyi zambi..duh!!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…