passioner255
JF-Expert Member
- Apr 22, 2019
- 6,516
- 12,488
Mkija Tanzania tunaweza kumtuma mkuu wa wilaya aje kumpokea Uhuru sema Sisi ni waungwana.Protocal my foot, Uhuru venye alikuja Tanzania alikaribishwa na Magufuli na sio waziri wa michezo.
View attachment 1772901
Ndio maana hadi sasa hivi bado hujajua mada ya uzi huu ni ipi. 
Mtu awaye yote ndio nini sasa, hata kiswahili pia kinakukanganya? Tumia kisukuma basi. Watu ambao tumetembea kweli huwa hatusemi kila siku na kwenye kila sentensi kwamba tumetembea.