Things a woman wants her man to grab

Things a woman wants her man to grab

Weee hata kanisani sadaka zinahitajika na kumbuka hupeleki mawe kule, pesa ndio kila kitu aisee, na usiniambie habari za kutafuta zangu, mie nazaa kwa uchungu tu.
Kwani mzee wangu hakuhudumii? Ni baba na mume anayetambua majukumu yake. Tatizo wewe unataka kumfanya yeye bomba la hela, ukifungua tu koki hizooo zinamwagika
 
Waooo ndivyo Kaboom alivyokwambia? We umejuaje yeye ni mume anayetambua majukumu yake? Have you ever got married to him??
 
Last edited by a moderator:

Eeeh woman, he is my darling father, our bond is more than strong kiasi kwamba akiwa tu stressed na me Najua huku. Majirani mtaa zima wananipa habari zako jinsi ulivyo money vampire teh

Ila tumekukomesha wallah mirija yote ya hela tumetaifisha, shida yako si ilikuwa kuona mikato ya chumba basi ushaiona, ulikuwa na hamu mwenyewe kuvaa shera. Kama unazijua sana hela si ungesubiri kina mengi, bakhresa watangaze kama wanatafuta wake wadogo ndo ungezienjoy, otherwise kwa mzee wangu imekucost na mashauzi yako heno heno
 
Daaah ndio maana wamama wa kambo huwa wanawatia viberiti watoto wa kambo, kumbe ndio mna midomo hivyo!! Sasa ukiendelea kusikiliza maneno ya majirani hata huko uliko kutakushinda, okey sasa olewa basi na baba yako nawe ufaidi maana naona imekuuma sana.
 
Hahaha limekuganda bi mkubwa. Me nafaidi kwa Paulo sina habaree. Namtafutia mzee kibinti kitekeeeee
 
Mtafutie tu, mie uswahili siuwezi so ngoja niwaache kwakweli, kumbe lisemwalo lipo eti? Duu kweli dunia imeisha walah!! Siwezi kushare mume na bintie. Okey good luck jamani.
 
Weeee mwanamke usituchurie sie. Baba angu alivyo na full package ni wa kukosa mwanamke hadi animendee mie mwanae? U - money monger umekuponza gerrrrrrrrrrrrrrrrrat
 
Si wewe hapo ndio unammendea, una mume ila huridhiki na baba nae unamtaka, hebu wahi maombi.
 
Mwanga mkubwa wewe, nimekukomesha na uroho wako. Maombi Napiga sana ndo maana nyumba unaiona chungu sasa hivi. Wasalimie kijijini kwenu mbigiri hahhahahha
 
Waooo ndivyo Kaboom alivyokwambia? We umejuaje yeye ni mume anayetambua majukumu yake? Have you ever got married to him??

Daaah ndio maana wamama wa kambo huwa wanawatia viberiti watoto wa kambo, kumbe ndio mna midomo hivyo!! Sasa ukiendelea kusikiliza maneno ya majirani hata huko uliko kutakushinda, okey sasa olewa basi na baba yako nawe ufaidi maana naona imekuuma sana.

Mtafutie tu, mie uswahili siuwezi so ngoja niwaache kwakweli, kumbe lisemwalo lipo eti? Duu kweli dunia imeisha walah!! Siwezi kushare mume na bintie. Okey good luck jamani.
Katoto unawezaje kusema haya maneno kwa Douta..Yani mi nitembee na binti yangu kweli..Mbona unataka kuharibu safari mamito wakati siku zimekaribia..
 
Weeee mwanamke usituchurie sie. Baba angu alivyo na full package ni wa kukosa mwanamke hadi animendee mie mwanae? U - money monger umekuponza gerrrrrrrrrrrrrrrrrat

Mwanga mkubwa wewe, nimekukomesha na uroho wako. Maombi Napiga sana ndo maana nyumba unaiona chungu sasa hivi. Wasalimie kijijini kwenu mbigiri hahhahahha
Douta ahsante kwa back up..Huyu kwenye baadhi ya maeneo yupo safi sana..Tupige magoti tu pepo la hela limtoke
 
Mmmh tatizo wewe mzee na wewe unapenda sana dogo dogo, husika huelewi. Hayo maombi mfanyie wewe mumewe
 
Katoto unawezaje kusema haya maneno kwa Douta..Yani mi nitembee na binti yangu kweli..Mbona unataka kuharibu safari mamito wakati siku zimekaribia..

Bora iharibike tu kwakweli, nimewachoka wewe na bintiyo, basi bakini mpeane mahaba salama.
 
Kwani mzee wangu hakuhudumii? Ni baba na mume anayetambua majukumu yake. Tatizo wewe unataka kumfanya yeye bomba la hela, ukifungua tu koki hizooo zinamwagika

Waooo ndivyo Kaboom alivyokwambia? We umejuaje yeye ni mume anayetambua majukumu yake? Have you ever got married to him??

Katoto unawezaje kusema haya maneno kwa Douta..Yani mi nitembee na binti yangu kweli..Mbona unataka kuharibu safari mamito wakati siku zimekaribia..

mabingwa wa kuchakachua thread.
 
Back
Top Bottom