Thika Highway ($360mln) vs Kibaha Highway ($65 mln)

Na mbezi mwisho wanakaribia kuweka mataa.. aibu sana kuwa na mataa kwenye highway.
Nmeshangaa pale kwann hawakifikiria kujenga overpass ,kutakua na usumbufu sana pale kwa wanaotoka njia ya Goba kuingia Morogoro road
 
SA zile Tz inatengeneza 1st 10km "superhighway in Dar Sluum, Kenya inaunda Nairobi Nakuru superhighway 139km na hutupigi kelele.
 
Nahis kwenye kila junction kubwa kutakuwa na jinsi ya kupunguza msongamano ...
 
SA zile Tz inatengeneza 1st 10km "superhighway in Dar Sluum, Kenya inaunda Nairobi Nakuru superhighway 139km na hutupigi kelele.
Highway Ni nyingi zinaanza kujengwa mwaka huu wa fedha kwa taarifa yako kutoka tegeta hadi bagamoyo 46 km tunaweka 4lanes ,morogoro road itaendelea hadi chalinze 100km iyo no awamu ya kwanza tu,
Tengeru USA river Arusha nayo itaongezwa 14km dual carriage way
 
Bado Sana ila hongereni kwa mawazo mazuri. Hizi zetu zimetuchosha yani hata hazipo kwenye headlines unapata habari kibahati bahati tu yani unapata inajengwa unajijazia tu... Another dual carriage road.
Tuusan our first dual carriage way was built in the mid 80s From Nairobi to Kenol 80km long, Uhuru highway/Waiyaki way hata sijui ilijengwa lini I just found it the way it is.
So utanielewa nikisema, I can only imagine how you feeling juu that was how I felt 20 years ago as a young boy in class 3 nyakati za Rais Moi.
Hehehehe si kukutania ila wewe unapata hio feeling ukiwa mtu mzima labda na familia, so Kama una mtoto, basi anaweza relate na Mimi better. 😉
 
Hehehehe si kukutania ila wewe unapata hio feeling ukiwa mtu mzima labda na familia, so Kama una mtoto, basi anaweza relate na Mimi better.
Sasa ukisema highways nmezaliwa nmezikuta nyerere road,kilwa road,morogoro road,kawawa road hizi Ni habar Za kawaida sana unaleta hapa
 
Siongei hizi za mjini naongelelea ya City to City/Town...hizo za kwenu ni within Dar metro.
 
Mwaswast you're 28 years old ,so is tuusan alizaliwa 1991
Bado Sana ila hongereni kwa mawazo mazuri. Hizi zetu zimetuchosha yani hata hazipo kwenye headlines unapata habari kibahati bahati tu yani unapata inajengwa unajijazia tu... Another dual carriage road.
Tuusan our first dual carriage way was built in the mid 80s From Nairobi to Kenol 80km long, Uhuru highway/Waiyaki way hata sijui ilijengwa lini I just found it the way it is.
So utanielewa nikisema, I can only imagine how you feeling juu that was how I felt 20 years ago as a young boy in class 3 nyakati za Rais Moi.
Hehehehe si kukutania ila wewe unapata hio feeling ukiwa mtu mzima labda na familia, so Kama una mtoto, basi anaweza relate na Mimi better. 😉
 
SA zile Tz inatengeneza 1st 10km "superhighway in Dar Sluum, Kenya inaunda Nairobi Nakuru superhighway 139km na hutupigi kelele.
Iko wapi nakuru highway tuoneshe hapa 😆😆😆😆😆😆😆😆😆
iko wapi tuione tuanze kuunga juhudi
F65FFEC3-5396-40C8-BACE-F82E9E5882F5.jpeg
672E6449-D4BF-48B3-80AD-DA8345F22436.jpeg
EE727F08-AC53-4332-8ADD-F9EA9B8E36A9.jpeg
D793A00E-5F1E-4526-9231-F071EAB19FEA.jpeg
79708584-6358-41FC-BD8F-B3EA887E3BCD.jpeg
9BAD7FC7-2348-42A2-AA87-6C375317A663.jpeg
AEBDADDE-3B32-4E79-8996-7DFE1586E1DC.jpeg
183CBEF6-BF8B-478D-A526-D76BA0D80E84.jpeg
A1048991-DC65-4661-9970-4E9D2A2406C3.jpeg
E3A383B5-D723-4B1D-A706-83FC374CECD8.jpeg
C1389B48-C29D-49F4-931A-83C8ED741944.jpeg
4B217323-1DBE-4CDF-8B59-6298EC98A200.jpeg
06174A5A-B6E5-4F9C-BD9A-1F9FA76AF479.jpeg
 
Back
Top Bottom