Makubaliano ya Uislamu na Ukristo hayako kwenye idadi ya miungu, bali kwenye dhana ya asili ya Mungu.Kwanza makubaliano ya Uislamu na Ukristo sio kuhusu Mungu ni Miungu.
Mkristo anaamini kuna Miungu watatu, Muislamu yeye anaamini hiyo ni kufuru.
Mpaka hapa wote hawazungumzi lugha moja na ndio maana adhabu ya mtu atayeuacha Uislam kuja kuwa Mkristo ni kifo.
Hayo yote yanawezekanaje ikiwa wanakubaliana kuwa hata Ukristo pia kuna Mungu?
Mkuu kama proof sio muhimu kwenye maswala ya revelations niambie kwanini huamini Ng'ombe ni Mungu?Kitu ambacho wote wanaosema Mungu yupo na wakataka kuprove wanakosea pakubwa(misingi ya theology haina sehemu ya kuprove,hizi wanaita revelations hazina proof but zinakupa tu mwanga kuwa kuna nguvu ya ziada ambayo iko nje ya uwezo wa binadamu)
😂😂Hii lugha ya malkia ya kishenzi sana usipokuwa makini unaweza mvua mama mkwe nguo.Hapa kaniacha njia panda sema fresh tu
Siku zote nawambia atheist wanaoparate katika very low dimension, wao wanazungumzia katka level Yao ya understanding nimewahi kutoa mfano mmoja, nilipokua mdogo nilikua anafikiria Kwamba zile cassette za nyuzi brown mziki ukipiga muimbaji anakua yumo mle Kwenye zile nyuzi. Na watoto wengi miaka hio katika mtaa tuliamini Hilo! So Elimu ya uungu Iko dimension ambayo wao wanashindwa kuitafsri hivyo wanaishia kupinga kwakua complexity uungu na uumbaji haiko katka level ya uelewa wao
Leo hii kiumbe Kama sisimizi ukibahatika kuongea nae ukamwambia hicho kichuguu unachojidai nacho nikaji tone kamchanga katika eneo la ardhi lililopo amballo wewe hulijui, nawambia sisimizi litamtoka povu lakin nikwakua dimension yake ya uelewa Iko limited katika kichuguu chake, na hajafunuliwa macho na hawezi kukuelewa Hata ukimtembeza baadhi ya maneno kwakua Tatizo lake liko katika ufahamu
Exactly — in Islam, Allah is a Necessary Being, not contingent on physical proof. His existence is logical, not empirical.Negative Proofs:👇
It is generally unreasonable to demand proof of a negative, particularly if there is no evidence to support the positive claim.
Anyway, kama kuna mvutano kati yao ni jambo jingine.Nilichokataa ni kwamba hakuna proof yoyote mtu ateleta kwamba Mungu yupo au hayupo nikaelewa.Kwanza makubaliano ya Uislamu na Ukristo sio kuhusu Mungu ni Miungu.
Mkristo anaamini kuna Miungu watatu, Muislamu yeye anaamini hiyo ni kufuru.
Mpaka hapa wote hawazungumzi lugha moja na ndio maana adhabu ya mtu atayeuacha Uislam kuja kuwa Mkristo ni kifo.
Hayo yote yanawezekanaje ikiwa wanakubaliana kuwa hata Ukristo pia kuna Mungu?
Humans are self-existing beings.Umeleta hoja inayojaribu kudanganya kwa kutumia “logic” na “universalism” ku-shut down Islamic philosophy.
“Hoja yako inashindwa kwa sababu huna uelewa wa msingi wa falsafa ya contingent vs necessary being.
Kila kitu kilicho hai kina chanzo, lakini si kila chanzo lazima kiwe kilichoundwa.
Allah ni Necessary Being – haaanziwi, hana chanzo – hii si special pleading wala divine fallacy, bali ni msingi wa logic ya ontology.
Hii si tu ‘Islamic philosophy,’ ni reasoning ya falsafa.
Kuchelea reasoning hii kwa sababu huna faith sio ushahidi wa kutokuwepo; fact ya lazima kwa ontology haitegemei imani yako.
“Dunia inaweza kuonekana isiyo na chanzo, lakini kila kitu kilicho contingent kinahitaji Necessary Being – Allah, kisicho na chanzo – na kupuuza logic hii hakufuti ukweli.”
Sijasema zimenifikia lakini lakin Mungu ni source of knowledge, by common sense Alie muumba binadamu Kisha akampa knowledge mfano mdogo TU hii Elimu na technology iiyopo duniani by common sense vipi kuhusu aliekuumba na akakupa Elimu hii yeye anajua kiasi Gani? Science and technology ni kaji mchnga TU katika Elimu iliyopo.Kama hazijamfikia binadamu wewe zimekufikia vipi hizo elimu?
Tatizo ni kkufikiria kwamba anayepinga dini yako ni Atheist pekee.Neno God limekuwa introduced(coined) kwenye language na watu religion kupitia vitabu vyao ambavyo misingi yake ni faith.Ukitaka proof yoyote tayari unakuwa against na hiyo misingi yao, maana yake ni kwamba tayari unataka kudevelop discipline nyingine(Unakua atheist si ndio?sasa atheist unapinga vipi kwamba Mungu hayupo wakati walioleta hii concept wamekwambia wako guided na faith and not reasoning(philosophy) or observation and experimentation(science)).
Yote haya umeyajuaje sasa? Kuna namna inaonekana unevuka hizo limitations ila unabania kutujuzaSijasema zimenifikia lakini lakin Mungu ni source of knowledge, by common sense Alie muumba binadamu Kisha akampa knowledge mfano mdogo TU hii Elimu na technology iiyopo duniani by common sense vipi kuhusu aliekuumba na akakupa Elimu hii yeye anajua kiasi Gani? Science and technology ni kaji mchnga TU katika Elimu iliyopo.
Sasa huko ni kwenye uislamu. Sio kwenye uhalisia.Exactly — in Islam, Allah is a Necessary Being, not contingent on physical proof. His existence is logical, not empirical.
These are just religious claims based on faith not facts.Demanding ‘proof’ like a scientist asks for experiments misunderstands the nature of Allah — He is uncreated, self-existent, and the source of all contingent beings.
Why is it necessary?Lack of evidence in the physical world does not negate what is logically necessary.”
Dhana ya asili ipi?Makubaliano ya Uislamu na Ukristo hayako kwenye idadi ya miungu, bali kwenye dhana ya asili ya Mungu.
Hata kama wote wanasema ‘Mungu yupo’, mafundisho yao ni tofauti kabisa; ukweli wa Allah hauwezi kupunguzwa na tafsiri za wanadamu
“We are born; Allah alone is uncreated, necessaryHumans are self-existing beings.
Humans are not contingent beings.
Allah isn't necessary being.
Allah doesn't exist.
Mungu hayupo.
Sasa point yangu ni kwamba kama imani ndio muongozo uliokufikisha kwenye Mungu yupoAnyway, kama kuna mvutano kati yao ni jambo jingine.Nilichokataa ni kwamba hakuna proof yoyote mtu ateleta kwamba Mungu yupo au hayupo nikaelewa.
Nasema hivyo kwa sababu tu ya essence ya concept God ilivyokuja kuwa coined katika lugha.Description ya neno God inapatikana katika religious books ambazo hakuna sehemu utafanya reasoning au debate yoyote.Ndio maana imani ni nguzo kwao.
Imani ni zaidi ya kusema kuna Allah au kuna sijui utatu mtakatifu.Imani ni kuamini kile ulichoelezwa kipo na ukaendelea na mishe zako.Ukianza kuprove au kureason na mwezako,sasa hapo utakuwa kwenye njia nyingine ya kuanzisha discipline yako.
Nakuelewa Sana Sasa watu wanaoimba uthibitsho Kwa kupitia Elimu ambayo wanayo mfano ukisema kuona,kuhisi,kugusa,kunusa, wherever that's Science, Sasa science nikaji Elimu Kama tone tuMkuu hoja uliyoweka ofcourse ni nzuri tu,
Ila hapo mkuu kama unaona uwezo wso mdogo ws kuelews hiyo concept, wewe kama muumini unafahamu kwamba haws jamaa baadse wanaenda kuka kiberiti --- we hilo jambo unakionaje ? Wamepews jambo gumu wsliloshindwa kulielewa na wskibisha ni kiberiti, huoni kama kuna kitu hakipo sawa hapa? -- na hata wakisema anyway ngoja tukubali hivyohivyo wakubali upande gani?
Mkuu kama unamuda kuna jamaa anaitwa, Daniel Everett. Huyu jamaa mmarekani wale evangelical walienda misituni amazon brazil huko, kwa lengo la kutafsiri bible kwenda katika lugha za wenyeji na kuwaingiza katika imani. Kwenye kuishi nao na kujua lugha yao alikua anashangaa maisha ya wale jamaa kabila la Piraha na akapigwa maswali mwisho wa siku imani hata yeye ikamtoka na mwishowe akawa mtaalamu wa lugha.
So watu wanaoomba uthibitisho sio wajinga mkuu kuna point wanayo, nani wa kujibu hiyo point ?
Unaweza kuthibitisha Allah yupo“We are born; Allah alone is uncreated, necessary
Nadhani umeenda mbali.Narudia nilichokuwa nasema, ni kwamba hakuna binadamu yoyote yule anayeweza kuprove kuwa Mungu yupo au hayupo.Tatizo ni kkufikiria kwamba anayepinga dini yako ni Atheist pekee.
Mkuu kama duniani kuna watu bilion 8 na katika hao bilion 8, bilioni 2 ni Wakristo, milioni 500 ni Atheist na hizo namba zingine ni waumini wa dini zingine.
Maana yake kwenye dini yako utakuwa unapingwa na watu zaidi ya bilioni 6, huku Atheism wakichukua asilimia 1 tu.
Hii ni sawa na kusema duniani kuna dini 5,000, ambazo zina amini Miungu 5,000.
Atheist haamini Mungu yeyote katika hao Miungu. Wewe ukaanza kumuona Atheist ni mtu wa ajabu kwasbabu haamini Mungu.
Lakini uhalisia ni kwamba Atheist haamini Miungu 5,000 wakati wewe huamini Miungu 4,999. So utofauti wenu nyinyi ni 1 tu.
Dhana ya asili ipi?
Kuna jamaa mmoja ana asili ya kiarabu kipindi tunasoma , tulimbana na maswali akakimbilia masjid akatoka na slesha anataka kukata mtu , tulimdaka alichezea kitaalamu yule mwamba hatokaa asahau kile kipigo cha kimya kimya.Sasa huko ni kwenye uislamu. Sio kwenye uhalisia.
Kwenye uhalisia, Mungu hayupo.
Hakuna Mungu kwenye uhalisia.
These are just religious claims based on faith not facts.
Why is it necessary?