Thibitisha kama ni kweli

Thibitisha kama ni kweli

iphone 18 promax

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2012
Posts
2,915
Reaction score
2,142
[h=5]MCHUMBA WAKO ANAITWA NANI???
0. JACQ => Huwa ni Mapepe hawajatulia...
1. PATRICIA => wote ni wapole but hupewa
mimba ovyo ovyo...
2. DAMARI => wote huwa waZuri.
3. SARAH =>huwa na wanaume wengi....
4. MWAJUMA=>huwa wajuaji mbaya
5. JOYCE=> ni mafala kiasi.
6. ESTER=> hupenda Pesaa sana jiandaee
watachop hizo pesa zako.
7. HELLEN=> wote ni ma player.
8. ANNE=> ni ma-drama queen.
9. Everlyne=> ni wanakuwaga wa cheshi
10. MAGRET=> ni wa-caring..sana wako
lovely
11.VIOLA=>wanap enda sex hoo...
12.EDITH=>huwan ga ni watu waaminifu.
14.NORAH=>wanak u wanga expensive.
15. SUSAN=>very romantic
16.Elizabeth=>c o nservatives
17.Liz=>wanajua kungara poa sana.
18.ANGELINA=>Ni ngumu sana kuwapata
hawa.
19.Rose=>hawa ni wachapa Kazii.
20.CARO=> Hawa huwa na mahasira tupu..
21.July/ janet=>wanapenda doa
sanaaa...unalo
22.Sheryl=>huwa malazi hawaa jiangalie
23.Stacy=>huwa wanyanganyaji mabwana za
watu...
24.Frida=>huwa wapishi wazuri sana...
25.Immaculate/ ivy=>huwa very economical
hawa utawamudu..
26. MARIUM => Hao ni omba Upewe Ndugu...

[/h]
 
mi nikadhani umetaja majina yote ya duniani kumbe machache!hapo mpenz wangu hayupo
 
nitawanyatia wote wenye hayo majina then nitarudi in a week's time!
 
kwa hiyo akina 'kanogolelo, mkami, yasinta, chiku, bhoke wa mara, mghesi, king'asti na chamingiledi' wana sifa gani?

tatizo wewe umeconsider majina ya kizungu tu!!

haya rudi tena ukafanye research upya!!
 
MCHUMBA WAKO ANAITWA NANI???
0. JACQ => Huwa ni Mapepe hawajatulia...
1. PATRICIA => wote ni wapole but hupewa
mimba ovyo ovyo...
2. DAMARI => wote huwa waZuri.
3. SARAH =>huwa na wanaume wengi....
4. MWAJUMA=>huwa wajuaji mbaya
5. JOYCE=> ni mafala kiasi.
6. ESTER=> hupenda Pesaa sana jiandaee
watachop hizo pesa zako.
7. HELLEN=> wote ni ma player.
8. ANNE=> ni ma-drama queen.
9. Everlyne=> ni wanakuwaga wa cheshi
10. MAGRET=> ni wa-caring..sana wako
lovely
11.VIOLA=>wanap enda sex hoo...
12.EDITH=>huwan ga ni watu waaminifu.
14.NORAH=>wanak u wanga expensive.
15. SUSAN=>very romantic
16.Elizabeth=>c o nservatives
17.Liz=>wanajua kungara poa sana.
18.ANGELINA=>Ni ngumu sana kuwapata
hawa.
19.Rose=>hawa ni wachapa Kazii.
20.CARO=> Hawa huwa na mahasira tupu..
21.July/ janet=>wanapenda doa
sanaaa...unalo
22.Sheryl=>huwa malazi hawaa jiangalie
23.Stacy=>huwa wanyanganyaji mabwana za
watu...
24.Frida=>huwa wapishi wazuri sana...
25.Immaculate/ ivy=>huwa very economical
hawa utawamudu..
26. MARIUM => Hao ni omba Upewe Ndugu...


samahani mkuu,mi wangu anaitwa zulukendemelo ndo anakuwa na sifa gani?nambie nimjue mapema mkuu ili nijue kama namsepa au naendelea nae
 
Hao niwako ulio wai kuwanao waka nasifa izo sidhani kama ndo ivo wote kila mtuu hua anasifa na tabia zake but wanawake bana huwa hawa tabirikagi ni majangala deshi tupu
 

26. MARIUM => Hao ni omba Upewe Ndugu...

Duh Kuna ukweli asilimia nyingi sana hapo

[/QUOTE]
 
Haya ulete listi na ya wanaume!!Umependelea upande mmoja!!

kweli kabisa!

hebu jipatie kinywaji kabla hujalala chali mama!

1372263123079.jpg
 
MCHUMBA WAKO ANAITWA NANI???
0. JACQ => Huwa ni Mapepe hawajatulia...
1. PATRICIA => wote ni wapole but hupewa
mimba ovyo ovyo...
2. DAMARI => wote huwa waZuri.
3. SARAH =>huwa na wanaume wengi....
4. MWAJUMA=>huwa wajuaji mbaya
5. JOYCE=> ni mafala kiasi.
6. ESTER=> hupenda Pesaa sana jiandaee
watachop hizo pesa zako.
7. HELLEN=> wote ni ma player.
8. ANNE=> ni ma-drama queen.
9. Everlyne=> ni wanakuwaga wa cheshi
10. MAGRET=> ni wa-caring..sana wako
lovely
11.VIOLA=>wanap enda sex hoo...
12.EDITH=>huwan ga ni watu waaminifu.
14.NORAH=>wanak u wanga expensive.
15. SUSAN=>very romantic
16.Elizabeth=>c o nservatives
17.Liz=>wanajua kungara poa sana.
18.ANGELINA=>Ni ngumu sana kuwapata
hawa.
19.Rose=>hawa ni wachapa Kazii.
20.CARO=> Hawa huwa na mahasira tupu..
21.July/ janet=>wanapenda doa
sanaaa...unalo
22.Sheryl=>huwa malazi hawaa jiangalie
23.Stacy=>huwa wanyanganyaji mabwana za
watu...
24.Frida=>huwa wapishi wazuri sana...
25.Immaculate/ ivy=>huwa very economical
hawa utawamudu..
26. MARIUM => Hao ni omba Upewe Ndugu...


Hawa ni wale ambao unaowafahamu.
Nimeshakutana na ku-mingle na wanawake wengi wenye majina uliyoyataja na sio wote wanatabia kama ulivyoandika.

Liz na Elizabeth mara nyingi ni jina moja, iweje wawe na tabia tofauti kwa mtazamo wako?

Mazingira mtu aliyokulia ndio yanam-shape mtu kuwa na tabia fulani. Kwa mfano Mariamu aliyezaliwa kwenye familia iliyokata tamaa na maisha anaweza akawa omba upewe, lakini Mariamu aliyekulia kwenye familia yenye maadili anaweza asiwe omba upewe. n.k......n.k........n.k...................
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom