First Born
JF-Expert Member
- Jul 11, 2011
- 5,317
- 1,485
í-½í±€ nipo ndugu yangu! Vijimambo tu! Ila nachungulia mara kwa mara
Watu wapo addicted zaidi ya hao sema huwagundui coz wamebadili id
Mimi bado nipo Mkuu sema majukumu yamenizidia
hivyo huwa naingia tu kuchungualia from time to time
bado tupo pamoja kiongozi.
Akhsante kwa kutukumbuka
nikiwa napitia list ya marafiki zangu nimejikuta nawaona hawa watu ambao those days walikuwa JamiiForums addicted members... around 2010-2013..
sitawataja wale ambao bhado nawaona hadi leo hii.. bt kupitia list hii naomba kujuzwa walipo.. au wapo majukwaa ambayo me huwa sifiki? probably jukwaa la siasa na kenya forums.. au ndo washaitupia kulee @jf?
wapo wapi akina
afrodenzi, Bishop Hiluka, Freema Agyeman, Mbu, iTech, Crashwise, Gaga, Maria Roza, BelindaJacob, Mama Mdogo, mikatabafeki, Nduka, Rose1980, Saint Ivuga, Sugar wa Ukweli, The Priest, Original Pastor, Reserved, Rutashongerwa, Smile, TIMING, Rutashubanyuma, Steve Dii, The Finest, WiseLady, Gurta... Lizzy...
wako wapi hawa raia?
kama kuna information za ziada tuarifiane kwa wema tu..
Dduh mpaka nimekusahau. Nilikutokea ukanipiga kibuti. Dena Amsi shahidi.
S/O to Mr FB First Born.
Hahahaha hukuwa na nia! Ungekaza buti kiduchu tu mambo yangekuwa shega
unamsafishia njia?
Nipo best ila nimekuwa mama siku hizi so kulea na majukumu ya taifa yamenibana but huwa nachungulia nikipata muda :cool2::A S 11: