Tume ya Katiba
JF-Expert Member
- Apr 6, 2012
- 4,896
- 1,866
Mkuu ustaadh O.R. Nundu, kubali tu kuwa hata kama hukula hela you were the slowest dinosaur. Simply useless.
Nchi haitaki wazee goigoi kaa wewe, mzee mwenzako Ronald Reagan (RIP) alikuwa mzee lakini alipanga watu wake vizuri mbele yake wafanye kazi na anasifika mpaka leo kwamba ni miongoni mwa rais mahiri kabisa USA. Nliposkiaga tu utetezi wako kuhusu wikileaks kuhusu uagizaji wa ndege nkaona tu wewe uko slow na hujui kuwa hujui.
Mi naona kheri umepumzishwa, maana hata huu utetezi wako na mashairi unautoa when it is too late, tena kwa mafumbo. Kwa kifupi huna jipya.
Mkuu, tatizo kubwa la viongozi wa kiafrika ni unafiki na woga. Sasa kama mtu umezungukwa kwa nini usiweke mambo hadharani ili watu wajue? Na ukiona unazidiwa kwa nini usijiuzulu ili kuepusha shari? It is too late kwa huyu bwana Nundu kulalamika sasa. Alitakiwa awe ameshachukua uamuzi kabla mambo hayajawa mamboLet us be honest!
Nundu katolewa kafara jamani, tutake tusitake.
Alizungukwa na majambazi, wezi na isingekuwa rahisi kusurvive.
Pole sana Mh. Nundu.
Soon watu watatambua ukweli.
I understand you brother.
Sometimes walking the path of rightousness can be trying, but steadfastness and walking the path of the truth always , I say, ALWAYS pays.
Most of us have walked that path, many years before.
But mark my words, The Almighty, who watches above all beings will definately settle all scores and absolve you from blame.
Most of all pray my brother,pray.
Especially during this moment when inner strength is at its lowest ebb.
But come five, six or ten years you will look back and thank the same Almighty for letting you pass hrough the strong winds of politics.
Sijamuonea, nimempa ukweli wake. Ndo maana nkasema huenda aliishia kunawa tu hakula, lakini huyu bwana ni mzigo.Mkuu unamuonea tu huyu muheshimiwa,
Wengi ya watendaji wezi na wabovu hakuwa na mamlaka nao, na wala hawaripoti kwake!
Mfano ni naibu waziri wake! Anazama masafari anaaga kwa PM.
We unacheza na Tanganyika wewe? wizi upo damuni.
Kaka Nundu
sisi tuko na wewe pamoja. Japo wao wamekuondoa lakini deep down tunajua kuwa wewe ulisimama kwa maslahi ya nchi hii na hilo hatutolisahau
.....When CCM will become a strong opposition party!
Keil, Kwenye zile docs alizoweka Invincible hapa zina clue moja ya ajabu: correspondents anapata nakala Katibu mkuu, naibu waziri na ofisi ya waziri mkuu! Waziri husika kwanini hakuwa anapata nakala?Mkuu FJM,
Tumekuwa tukiamini kwamba mawaziri wengi wamekuwa wakiwekwa kwenye wizara ambazo hawana utaalam nazo na ndio maana kumekuwa na madudu mengi. Case ya Mh. Nundu, inaweza kutumika kama proof ya kwamba tatizo sio utaalaam wa mawaziri, bali ni mfumo mzima.
Nikisema mfumo, ninaongelea Kanuni za Utumishi; Taratibu za Mawasiliano na Uwajibikaji, nani anawajibika kwa nani, na ana report kwa nani? Je, kuna mianya ya kum-by pass Waziri na hivyo Katibu Mkuu au Naibu Waziri kuwa na direct access na Ikulu au PMO? Then, kuna namna ambavyo hawa watendaji wanapoteuliwa, je, wanapatikana kwa kutumia vigezo gani? Kuna mahusiano gani yaliyopo kati ya mteuaji na mteuliwa?
Juzi kwenye case ya Prof. Mahalu, Mkapa ametamka kwamba kuna maagizo alimpa Prof. Mahalu kwa mdomo [Mahalu alikuwa Balozi, kiutaratibu anatakiwa ku-report kwa Katibu Mkuu au Waziri wa Foreign Affairs, and in special circumstances, anaweza ku-report moja kwa moja Ikulu, lakini info hiyo inatakiwa pia iende kwa Katibu Mkuu/Waziri wa Foreign Affairs].
Tumefika mahali marafiki wanapeana teuzi na kutokana na misingi hiyo hata utendaji kazi unakuwa ni wa kienyeji enyeji na ndio maana Mkapa anasema alitoa maelekezo kwa mdomo wakiwa wawili tu, Mkapa na Mahalu! Waziri husika akisikia huo upuuzi unategemea atakuwa na imani na huyo balozi? Kuna mangapi ambayo yanaenda behind his/her back? Je, hao watu watashirikiana ipasavyo kufanya kazi? Chochote kile atakacholetewa Waziri atakiangalia kwa angles zote kwamba usije ukawa ni mtego, kama amezowea kwenda Ikulu direct, kwanini leo anapitishia hapa? The whole system is broken kwa sababu ya uswahiba na "u-mwenzetu". So, some of wateuliwa are considered as insiders while others are outsiders!
Kuna haja ya kurekebisha mfumo wa uteuzi, Kanuni za Utumishi kwa Wateule, Reporting System na madudu yote, baada ya hapo tutaweza kumlaumu mhusika moja kwa moja.
Keil, Kwenye zile docs alizoweka Invincible hapa zina clue moja ya ajabu: correspondents anapata nakala Katibu mkuu, naibu waziri na ofisi ya waziri mkuu! Waziri husika kwanini hakuwa anapata nakala?
Kaka Nundu
sisi tuko na wewe pamoja. Japo wao wamekuondoa lakini deep down tunajua kuwa wewe ulisimama kwa maslahi ya nchi hii na hilo hatutolisahau
A time will come for Omari Nundu to resign the post of MP as well return CCM membership card and join CDM
Nundu jambo moja tu kwake; unapotaka kutendewa haki hakikisha na wewe unawatendea haki wengine. Kuku anaweza kujisikia raha anapokanyaga sisimizi; lakini akija mwewe haki hubadilika!
But Nundu, I have one word; do not despair and don't you ever give up. Cry but at the end get up, lift your head high, build whatever bridges you had destroyed and move on!