One can choose to love someone and may decide within the twinkle of
an eye to hate the individual due to the perception u have towards an individual
And who is the King of The Jungle?:first:
Hahahaha. No it ain't. Maybe when it goes sour.:eyebrows::eyebrows: lol
Jambo gani zito?
Kwa kipimo gani?
Here i am!
Iwe iwavyo
Bado huo ni udhaifu wa kijinga sana na nikutokujua tu ndiko kunawafanya watu wajiingize kwenye mambo ya ajabu kama haya
Huyo mtu mwaka mmoja tu ulikua humjui,iweje leo udai huwezi kuishi bila yeye?
Kama sio ujinga ni nini?
Alaa! Kwa hiyo wewe ndo umemuumiza kipusa wa watu?
Ndio maana hata maandiko husema watu wanaangamia kwa kukosa maarifa.
Pengine yakasema pasipo MAONO watu huacha KUJIZUIA.
Huwa sijibu maswali ya kipuuzi.
Stop spamming.
Mimi ni mfalme wa sasa
Aliyemuumiza ni wa wakati uliopita
Nakula vinono!
We ndo mumewe?
Sijaelewa. What happened?
ur suffering with it right now HOW!!!!!!!!!
Sasa kwa nini unamtenda mwenzio wewe? Acha hizo bana....Ndio!!!!!!
Ni kweli maarifa ni kila kitu!!!!!!
Sasa kwa nini unamtenda mwenzio wewe? Acha hizo bana....
Again its writen in proverbs "WISDOM is the principle thing, therefore get WISMOM; And all your getting, get UNDERSTANDING"
Huoni anavyolia? Hujawahi kuiona sredi aliyokufungulia?Kivipi?????
Its a kind of life Im suffering with it now, since I breaks up my past relationship my Soul hates my x even my eyes doesnt want to see her.