Mjuni Lwambo
JF-Expert Member
- Apr 25, 2012
- 11,717
- 13,443
Teh teh teh!!Pamoja na upeo wako mkubwa mi langu moja - kiingilish chako. Mi najua subject-verb-object. Hiki kilichonyooka hivi na zaidi sana chenye utajiri wa matumizi kama "bash", "take the high road", "flies in the face of it" mimi bado sana maana nachukua muda kuangalia muktadha ili kujua maana yake maana kwenye kamusi ya oxford hamuna.
Teh teh teh!!
Hii ni misemo ya kiingereza mkuu, inaitwa Idioms, kinachokuwa kinamaanishwa ni tofauti na maana ya kawaida ya maneno.
Kwa hiyo ni vigumu kujua maana yake kwa kutumia dictionary, kama ni kiswahili, mtu anasema kwa mfano "Amezunguka mbuyu" , yaani ametoa rushwa.
Wala siyo vigumu kwa sababu kwenye kamusi ipo. Ni kujua wapi tu pa kuangalia.
Fly in the face of -
: to fail completely to agree with (something) : to oppose or contradict (something) directly
▪ His explanation flies in the face of the evidence. [=his explanation is not supported at all by the evidence] ▪ a theory that flies in the face of logic [=a theory that is not logical at all] ▪ a policy that flies in the face of reason [=a policy that is extremely unreasonable] Source
Take the high road (in something)
To take the most positive course of action
Eg: He took the high road in his campaign.
Source
Way to go! Thumbs up!!
ndo nini kupotea kiasi hicho?
Missed you too mdogo wanguI missed you sis
Sasa unashangaa nini?
wewe hupendi?
Some wise dude also once told me this, " after sometimes in life/marriage ,the husband and wife became like two sides of the coin; the can't face each other due to hate but still stay together even thou walikuwa so lovetight back then", thinking deeply :A S 39:, i guess ndo mambo ya thin line btn love and hate.
Si afadhali ingekuwa marriage bestii!
Mi msima sana chali yangu.
Maisha ndo yalivyo samtaim yanaminya nanilii kweli.