There is One in every Family

MaxShimba

JF-Expert Member
Apr 11, 2008
35,772
4,054
20371.gif
 
mwaJ mbona kama hana sifa kamili za kichizi? mbona kaziba ndude kma chiz kweli?
Erotica kumbe mtaa hii huwa unafika? Mie nilidhani we mitaa yako ni kule MMU na jukwaa lake dogo. Kwa kweli mie nimemwona chizi tu, japo kaficha ndude! Lol!
 
Last edited by a moderator:

MMU na jukwaa lake dogo kukiwa hakuna mshiko ndio natembelea huku teh teh.
 
Cool Gentleman toka aliponiona tu alikuwa hanitaki. wala hata hajanibembeleza

kama anavo wabembeleza wengine. kanibagua alafu anataka nimchum, wea and wea? mie nimejitoa.
Erotica usijitoe bana, Cool Gentleman alishasema habembelezi hadharani inabidi muingie chamber ahakikishe una vigezo hapo ndio kubenbelezwa na kudekezwa kunakuwa exclusive right yako. Usikate tamaa mapema. Jaribu kwanza kama mie, vigezo vikuondoe na sio kujiondoa mwenyewe.
 
vigezo vyote ninavo. kudeka najua, kubembelezwa napenda. na mchumba namhitaji.

sasa sijaelewa kwa nn mie asiweze nibembeleza hadharani wakati wewe mwaJ kakubembeleza.

nikajua mwana sio wangu ni wa MwaJ or Yummy. or wengine.
 
Weee! Labda huyo Yummy ndio alibembelezwa hadharani. Mie walaa! Na nilishindwa kwenye hatua za mwanzo kabisa za mchakato kwa kukosa karibu nusu ya vigezo.
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom