Ni ipi hiyo.?Time-Travel ipo lakini sio hiyo unayoisema ama ile inayooneshwa katika filamu.
Hivi kaka unaelewa nini unapoambiwa watu wanaigiza au maigizo ?Kuna series ya kijerumani inaitwa DARK imezungumzia hayo mambo.
Time travel, ipo kwa proof tunazoona hata kuaminishwa?? What ni hoja zinazo pikwa kwa kuwa wamesha pika jinsi ya kufikiri kwetu??..time travel.
hii natharia kwel ipo lakini bado wataalamu wa Mambo ya physics wanaendelea kuyafanyia uchunguzi juu ya uwepo wa time traveling , Hilo jambo kweli lipo lakini Kuna baadhi ya challenge ambazo mi binafs nasema ya kuwa bado hatunauelewa wa kutosha kwa sababu if the one goes behind na kuchange tukio moja hatakuwa amechange chain yote ya matukio that means even today will be changed.
Naon watu, wanaamin kitu kikiwekw na kupikw vzuri na director na wasaniii kuwa ndio uhalisiaa ,tayari.Hivi kaka unaelewa nini unapoambiwa watu wanaigiza au maigizo ?
Hili ni tatizo kubwa sana.Naon watu, wanaamin kitu kikiwekw na kupikw vzuri na director na wasaniii kuwa ndio uhalisiaa ,tayari.
Sasa kama mtu ndio alikuambia kuwa hii ndio moja, mipaka ya moja haiwezi kutoa mbili. Then baadae ,mtu huyo huyo anakwambia inawezekana, pale haukuwa na uelewa mpana kufundishika. Na bado unaendelea kuamini, HUON ANATAWALA NAMNA YA KUFIKIRI KWAKO, AKIJA NA HOJA AMBAYO MZIZI WAKO NI MOJA TOA MBILI, UTAIPINGA??Hili ni tatizo kubwa sana.
Whites make us look like there's nothing we know about...I believe in time travel. Ni vile technolojia yetu ipo chini kwa sasa. Vipi pale tutakapokuwa na technolojia itakayokuwezesha kusafiri at least kwa 80% ya kasi ya mwanga into the space..... Hapa ndipo tutakaposhuhudia uhalisia wa Time travelling
However, I don't believe going in the past.... My believe is going to the future my travelling at very high speed out of the earth and come back on the ground. People who were in similar age with you, they will be much older. This is possible, it's just a matter of technology.
Weka bundle la mb nenda YouTube search Brian greene fatilia makala zake zinazohusu time and space.. humu kukuelezea watu wanaona uvivu si kitu kidogo kukielewa!.. we nenda huko ukaelezwe kwa mifano utaelewa halafu acha Sana movie kabla ya kufatilia theory husika sometimes zitakuchanganya.. Mambo mengine ni imagnation tu!.. we kawasikilize wenyewe na hesabu zao ndo utaelewa.Kumekuwa na Gumzo kubwa duniani kufuatia nadharia inayodai kuwepo kwa uwezekano wa kusafiri kwenye muda (Time travel).
Ingawa kuna mvutano mkubwa juu ya ukweli wa hili jambo kwa upande wangu naona haliwezekani kwasababu zifuatazo;
Dunia ni moja
Dunia ni moja na matukio yote yanayotokea hutokea kwa muda mmoja na hupita, sasa ukirudi utarudi wapi?
Future bado haijatokea
Sisi ndio tunapelekea future kutokea sasa inawezekanaje hiyo future uione kabla haijafanyika?
ni mtazamo tu..
Niko tayari kukosolewa