There is no such a thing like break up and moving on

That’s your opinion; which is not my reality!

Sometimes people create their reality and live upon it.

Back to.my point. Maneno gani unamwambia mwanamke wakati una.break up NAE ?

Kwamba it's over between us ?

Ooh kuanzia Leo Mimi na wewe basi ?

Mbona ni kama.utoto utoto Fulani hivi!

Au inatokeaga automatically kwamba mnajikuta tu mmebreak up?
 
Sasa nisemeje mtu kaandika kwa kujisifu kabisa, hata nikimtolea povu itasaidia?
Mwanamke mwenzako anachapwa na wewe unasema ana raha?

Mtu anataka kuondoka anachapwa fimbo ili abaki unasema ana raha?

Hiyo ni abusive relationship.

LIKUD huo mtindo usifanye mbele yangu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Wakubwa hawaambiani. Wanajiongeza tu wenyewe.
 
Mwanamke mwenzako anachapwa na wewe unasema ana raha?

Mtu anataka kuondoka anachapwa fimbo ili abaki unasema ana raha?

Hiyo ni abusive relationship.

LIKUD huo mtindo usifanye mbele yangu.
I will do it a million time na akishika nafuta naanza upya..Shaabash!!!
 
I will do it a million time na akishika nafuta naanza upya..Shaabash!!!
Mimi maugomvi kama hayo ya mtu kumpiga mwanamke nayapenda sana. Nakupasua ili ukiona kovu ukumbuke tabia mbaya siyo ishu.
 
Tutakutafutia zawadi ya Man of the year

Sent using Jamii Forums mobile app
Just come to think of it. Nimekufumaniana unaniwekea uchawi kwenye chakula au unagongwa. Kipi bora? nikutandike bakora yaishe tuendelee na maisha yetu kama kawaida . Au nikupige talaka nioe mwanamke mwingine aje akutesee watoto wako?
 
Una maanisha nini mkuu,hasa hiyo kauli ya mwisho?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi maugomvi kama hayo ya mtu kumpiga mwanamke nayapenda sana. Nakupasua ili ukiona kovu ukumbuke tabia mbaya siyo ishu.
Mkuu najua humaanishi
 
Mkuu huu n ukweli 100% .. Tena hapo mwisho ndo nazidi kukubaliana na wewe zaidi ... Videmu vya kibongo Vingi vinapenda drama kiasi kwamba wanaona Ku break up n km swagger hv ..Shem on them..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa hiyo mnakuwa kama mmenuniana au kuchuniana.?

Anyways sababu ya kufanya hivyo

Some relationships just peter out.

And at that point you just use your common sense and keep it moving.

I’m not a clingy type of person. Never have, never will be.

My philosophy with respect to relationships is, they are voluntary.

I don’t need to force anyone to be in one and likewise, I don’t want anyone to force me to be in one.

If things click, go for it by all means.

If things don’t workout, life goes on. KIM [that means Keep It Movin’].
 
What? [emoji848]
 
To break up is to give up. Don't give up.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…