code47
Member
- Apr 13, 2014
- 26
- 13
kimsingi kuna mambo ambaya kila mmoja wetu huwa ana fanya akiwa amekasirika sanaaaa mambo ambayoo mtu yeyote anaweza akayafanya wakati mwengine hata yeye mwenyewe akaja kuyajutia so we can share je unadhani namna gani we can do illi kidogo tupunguze balaa linalotokeaga