VUTA-NKUVUTE
JF-Expert Member
- Nov 25, 2010
- 6,136
- 17,871
Hakuna maneno zaidi ya hayo. Wazazi wamekosa kufurahisha familia zao. Watoto wamebaki kuchezea mchanga badala ya toys na kula mahanjumati. Watu wamekosa furaha. Wamekosa kipato.
Ni Christmas mbaya kupata kuishuhudia kwenye maisha yangu. Ifike mahali, tuache kubishana kuhusu hali ya maisha kuwa mbaya na ngumu. Tangu awamu hii ianze, hali ya kiuchumi imekuwa ngumu; fedha hata za kujikimu ni shida kupatikana.
Sherehe gani hazikuwa hata na disco toto wala disco la wakubwa? Hata watoto waliozaliwa kwenye mkesha wa Noeli wamepungua kwa idadi. Lazima kifanyike kitu kuleta ahueni ya maisha ya watanzania.
Hii ni nchi yetu sote!
Mzee Tupatupa wa Lumumba, Dar es Salaam