The world is not fair

The world is not fair

Mshana Jr

Platinum Member
Joined
Aug 19, 2012
Posts
376,459
Reaction score
872,120
1419643544482.jpg
 
au anamaanisha kwa sie tuliokosa walau nyama
 
Poleni mshana jr na team yako nzima ya vibamia. Ila hongereni sana maana uchunguzi umeonyesha mna uwezekano mdogo sana wa kupata Tezi Dume.
 
Halafu uchoyo wako huu Gwangambo si mzuri kabisa unaibuka baada ya kumaliza minofu yote?
 
Last edited by a moderator:
Halafu uchoyo wako huu Gwangambo si mzuri kabisa unaibuka baada ya kumaliza minofu yote?
Haah haaaaa! usijali boss wangu mshana jr, nitakualika mwaka mpya uje Babati kuna kiwanja kipya kinaitwa Sarafina, nakuandalia na desii mmoja mkali.....! X-mas hii nilikuwa bize na Preta na miss chagga tukinywa mbege na mbuzi kule kibosho.
 
Alaa kuumbee ndo maana wamekuwa adimu jukwaani
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom