Kaka soma nilichoandika.So wewe unakataa kwamba hatuzunguki kwa hiyo speed?
And that's why nimekuuliza wewe unakataa kwamba hatuzunguki kwa hiyo kasi?Kaka soma nilichoandika.
Wewe unauliza kuhusu dai tunaenda kwa kasi ya 10,000 km/h, Dai hilo halina msingi.
Ukiongea kasi unahita kusema kasi kulingana na nini?
Maana wakati unapopanda basi ya mwendokasi
- unatembea na kasi ya takriban 50 km/h kulingana na barabara chini yako
- unazunguka kwa kasi ya 1666 km/h kwenye mhimili wa Dunia
- unakimbia kwa kasi 107,000 km/h ukizunguka Jua letu
- unazunguka kwa kasi 720,000 km/h kitovu cha galaksi yetu.
Kasi ya 10,000 km/h unayotaja sijakuta.
Kama unaamini dunia inazunguka basi wewe utakuwa ni juha. Tena wazungu wanakwambia inazunguka 10,000km/h. Ni mwehu tu ndo wakuamini haya mambo kama aliyeamini binadamu wa kwanza kaishi miaka milion 3. Sent using Jamii Forums mobile app
Angalia Kiswahili chako, kaka. Duara si tufe. Duara ni bapa. Acha kando Biblia, si kitabu cha fizikia, ni kitabu cha imani.Biblia nayo inasema dunia duara Mkuu
Isaya 40:22
[22]Yeye ndiye anayeketi juu ya duara ya dunia, na hao wanaokaa ndani yake huwa kama panzi; yeye ndiye azitandazaye mbingu kama pazia na kuzikunjua kama hema ya kukaliwa
hiyo globe imekuja siku hizi mkuu zaman wote walitumia duaraAngalia Kiswahili chako, kaka. Duara si tufe. Duara ni bapa. Acha kando Biblia, si kitabu cha fizikia, ni kitabu cha imani.
Sasa we huoni hapo a nakwambia TUKO NDANI... INA MAANA NI NUSU DUARA.Biblia nayo inasema dunia duara Mkuu
Isaya 40:22
[22]Yeye ndiye anayeketi juu ya duara ya dunia, na hao wanaokaa ndani yake huwa kama panzi; yeye ndiye azitandazaye mbingu kama pazia na kuzikunjua kama hema ya kukaliwa
Unadhani dunia ni flat?Sasa we huoni hapo a nakwambia TUKO NDANI... INA MAANA NI NUSU DUARA.
MAANA KAMA AMEKETI JUU YA HUO MDUARA NA SISI KWA THEORY ZENU SI TUPO JUU TUNAZURURA BASI ANGETUKANYAGA
kuna juu na ndani elewa MkuuSasa we huoni hapo a nakwambia TUKO NDANI... INA MAANA NI NUSU DUARA.
MAANA KAMA AMEKETI JUU YA HUO MDUARA NA SISI KWA THEORY ZENU SI TUPO JUU TUNAZURURA BASI ANGETUKANYAGA
Si "globe", ni tufe. Tufe si Kiswahili kipya, naiona katika kamusi ya 1904.hiyo globe imekuja siku hizi mkuu zaman wote walitumia duara
Na wewe tafakari jinsi unavyotumia lugha. Nusu-duara - je upande wa kushoto au kulia?Sasa we huoni hapo a nakwambia TUKO NDANI... INA MAANA NI NUSU DUARA.
MAANA KAMA AMEKETI JUU YA HUO MDUARA NA SISI KWA THEORY ZENU SI TUPO JUU TUNAZURURA BASI ANGETUKANYAGA
Biblia nayo inasema dunia duara Mkuu
Isaya 40:22
[22]Yeye ndiye anayeketi juu ya duara ya dunia, na hao wanaokaa ndani yake huwa kama panzi; yeye ndiye azitandazaye mbingu kama pazia na kuzikunjua kama hema ya kukaliwa
Kama kwako ni sawa bila tofauti, basi nitakupa wali kwenye tufe.Mpira na Sahani vyote ni vya Duara.
Mkuu Tofaut ya globe na tufe ni nini..???Si "globe", ni tufe. Tufe si Kiswahili kipya, naiona katika kamusi ya 1904.
Watu walijua tangu zaidi ya miaka elfu mbili dunia ina umbo la tufe.Mkuu Tofaut ya globe na tufe ni nini..???
Globe English
Tufe kiswahili...
Ishu ya dunia sio flat ndo ilianza mkuu wanasayansi wa kale waligundua kwamba dunia sio flat dunia ni duara...
ishu ya dunia sio kama duara ni tufe imekuja zamaa hizi baada ya maendeleo ya sayansi na teknolojia hii ni baada ya kufanikiwa kupima speed ya dunia at the center na poles wakangudua kwa tofaut hiyo dunia haliwez kuwa duara kamili ila ni kama tufe
Kuhusu neno la biblia nililoqoute ni kutia msititizo kuwa dunia sio flat ni duara..
ishu ya duara na tufe ni kwa mtazamo zaid tu....
2Million Dollars mbona ndogo au ukitaka kumaanisha BRight now mr musk ameburn 2 million us dollars kwa sn8 launch maandalizi ya safari kuelekea mars.
Test imeenda as planned japo landing ni failed still watafix hilo tatizo kwenye next sn9 test.
Even india wanaanza kujihusisha na space exploration.
Huku nyie mnabishana dunia haizunguki na ni flat.
Pathetic Africans.
mkuu ni USD hizo ni 4 bilion tsh.2Million Dollars mbona ndogo au ukitaka kumaanisha B