Technologia imeanza kuprove dhana ya ship's visibility kuwa ni wrong kuitumia kuthibitisha kuwa dunia ni duara
Sent using Jamii Forums mobile app
Ramabi hii ya dunia nayo ina mashekele mageni....kuna uongo sana. Kuna wanaosema egypt iko karibu na Texas....kuwa haziko mbali km tunavyoambiwa.Mkuu mimi nimekuelewa sana. Ila swali langu ni moja tu. Tunajua Marekani kwa ramani ya dunia ipo magharibu. Urusi ipo mashariki. Sasa kwa nini Urusi na Marekani zimepakana? (Jimbo la Alaska)
Sent using Jamii Forums mobile app
Jimbo la Alaska liliuzwa na kwa Marekani na kiongozi fulani hivi wa Russia.Mkuu mimi nimekuelewa sana. Ila swali langu ni moja tu. Tunajua Marekani kwa ramani ya dunia ipo magharibu. Urusi ipo mashariki. Sasa kwa nini Urusi na Marekani zimepakana? (Jimbo la Alaska)
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha!
Maswali yamekwisha jibiwa.Angalia hizo attachment bhaana kisha jibu maswali yangu kwa logic. Acha meandering.
Sent using Jamii Forums mobile app
Swali la kwanza sijajibu kiaje?Kuhsu swali la kwanza nalo hujajibu. Inakuwa kama hujaziona hizo ref. picture nilizozi attach round earthers wanavyoi-represent dunia kimuonekano.! Refer hizo picha kisha jibu swali **** ulivyoulizwa. Usibishe tuu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha!
Na wewe pia huna tofauti na mwenzako niliyemuuliza maswali hapo awali.
Mnajipinga wenyewe, nilisema hapo awali.
Unafahamu kuhusu Universal Acceleration?
Nenda ukawasome vizuri flat-earthers wenzako. Usikurupuke!
Mnajadili hoja kuhusu flat earth ambazo zilishakuwa proved wrong muda mrefu tena kwa ushahidi wa kutosha.
Wenzako wana-formulate theories mpya kila siku, lots of contradictions.
Wewe nawe ni flat-earther wa aina gani?
Maswali yamekwisha jibiwa.
Soma vizuri na kwa umakini majibu uliyopewa!
Kwani kama satelite zipo juu ya mpira alafu kijiji chenu kipo chininya mpira huko na ile ya kuwa kuna mnara mreefu katika sahani flat ambao unacontrol na kunasa taarifa ipi ngumu kumesa hapa..?Satellites ni uzushi kwamba kuna underground cables na towers hii ngumu kumeza. Kijijin kwetu mbali kabisa kuna madishi kadhaa ya ving'amuzi sasa haya yote kweli yanase kwenye mnara ulio mbali ( hizo cables ndo kabisaa)
Sent using Jamii Forums mobile app
If you are a greatthinker hizo sio tu proof bali ndo sababu zinazofanya dunia iwe jela ya wajinga kwa kutozijua zina maana gani na wanaishi ili iweje.
Jewish wanacontrol kila angle mkuu ukubali ukatae huo ndo ukweli,au nipe sababu moja why do we EXIST? moja tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe ndo utumie ubongo, labda nikuulize huo mnara mrefu unaotoa mawasiliano dunia nzima uko wapi?Kwani kama satelite zipo juu ya mpira alafu kijiji chenu kipo chininya mpira huko na ile ya kuwa kuna mnara mreefu katika sahani flat ambao unacontrol na kunasa taarifa ipi ngumu kumesa hapa..?
Tumia ubongo wako bwana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Na wewe pia tumia ubongo, inawezekana vipi mnara mmoja ukatoa signal dunia nzima?Leta hizo picha za satellite halisi tuzione sio zile za CGI za kuedit.
Alafu we jamaa tumia tena ubongo satelite ipo nje ya dunia inawezaje kutoa taarifa kwenye mpira yaani hzo information kuuzunguka huo mpira na information kutransmit katika sehemu tambalale lioi ni rahisi..?
Sent using Jamii Forums mobile app
Na wewe pia tumia ubongo, inawezekana vipi mnara mmoja ukatoa signal dunia nzima?
Sent using Jamii Forums mobile app
Picha za google maps ambazo unaweza ona popote duniani na kuzoom vizuri zinapigwa na nini mkuu?Kama mnara mmoja hauwezi kutoa signal dunia nzima ambayo ni flati na huo mnara uko duniani,unadhani hzo satelite zilizoko nje ya dunia zitakuwa rahisi kutoa signals tena zikizunguka hilo duara ?
Sent using Jamii Forums mobile app
Picha za google maps ambazo unaweza ona popote duniani na kuzoom vizuri zinapigwa na nini mkuu?
Hujanieleza kuhusu vimondo nao ni uzushi wakat hata usiku vinaonekana?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu nenda hospitali teyari ubongo wako ushakusalitiNyota zinamove mkuu mm nimewahi kufanya jaribio sio mara moja wala mbili naona zinahama position ila ni taratibu sana
Sent using Jamii Forums mobile app