The World is a flat plane and not a globe

Mkuu mimi nimekuelewa sana. Ila swali langu ni moja tu. Tunajua Marekani kwa ramani ya dunia ipo magharibu. Urusi ipo mashariki. Sasa kwa nini Urusi na Marekani zimepakana? (Jimbo la Alaska)

Sent using Jamii Forums mobile app
 
M Mkuu Dunia inazunguka tena kwa spidi kubwa! Mfano wa kawaida unaoendana na kuzunguka kwa Dunia ni Gari linapokuwa kasi katika barabara nzuri ukiwa ndani yake utaona miti na nyumba vinakimbia kurudi nyuma! Turudi kwa Dunia.tumefundishwa Dunia hujizungusha toka magharibi kuelekea mashariki ili kupata usiku na mchana! Ukitazama angani usiku kwa umakini utaziona nyota zinakimbia toka magharibi kwenda mashariki! Hapo ni kinyume chake Dunia ndo ipo katika Mzunguko wa kutoka magharibi kwenda mashariki Yaani mbele na nyota zinarudi nyuma Yaani magharibi kwenda mashariki japo kimsingi nyota hazitembei!
 
Wakati ukiiona hiyo miti inarudi nyuma, je hauhisu uoo kwenye kitu kinachotembea? Vp kwa Dunia, mtembei wake unauhidi mwilini mwako?
Achana na kuangalia nyota tui.... fanya hivi chagua muda maalum kama ni saa mbili usiku... tafuta nhota au kundi la nyota utakaloweza kulikalili lilivgo halafu damka tena hata saa kumi uziangalie tena zitakuwepo au hazipo.... then utuletee mrejesho wa kwanini uliona ulivhokiona. Asante

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nyota zinamove mkuu mm nimewahi kufanya jaribio sio mara moja wala mbili naona zinahama position ila ni taratibu sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama ni nyota zipo za aina mbili
1.moving stars....nyota ambazo zinatembea
2.shooting stars....nyota zinazopita kwa kasi na kupotea

NA HIZI UKIZIONA UKIWA MWENYEWE OMBA BAHATI YAKO.
unajua mkuu nimeanza kukubaliana na flat earther lakini what about those moving things in space vinaonekana hata SAA hz

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Technologia imeanza kuprove dhana ya ship's visibility kuwa ni wrong kuitumia kuthibitisha kuwa dunia ni duara

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…