The World is a flat plane and not a globe

Daah..! Aisee..! Umenijibu kisiasa saana hadi nimebaki nacheka peke yangu tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuhsu swali la kwanza nalo hujajibu. Inakuwa kama hujaziona hizo ref. picture nilizozi attach round earthers wanavyoi-represent dunia kimuonekano.! Refer hizo picha kisha jibu swali **** ulivyoulizwa. Usibishe tuu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Angalia hizo attachment bhaana kisha jibu maswali yangu kwa logic. Acha meandering.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapa kakusudia nini

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwamba mfano ukichimba shimo toka mzingo wa kaskazini halafu utoboe dunia utokee kusini, utatoka upande wa pili ukiwa umetanguliza miguu ama kichwa?

Logic hapa ni kwamba kwa mujibu wa dunia duara walioko south wameelekea chini wakati walioko kaskazini wao wameelekea juu. Sasa ukichimba toka kaskazini utafika ukiwa umetanguliza miguu kama ulivyoanza kuchimba au ukifika katikati ya dunia utajikuta ukichimba kichwa chini miguu juu?

Sent from my SM-T355Y using Tapatalk
 
Hahahhaha dah aisee.si mchezo kabisa.

Inafurahisha sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…