Nacheka sana, hata wajinga wanapeana tuzo, hili halishangazi.Hey Zurri my understanding level is beyond yours
My instincts are definitely different
Thats why i don't argue
I am going to take my award next year for this
Just be humble all things will be possible for you
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa Kukiwa Flat usiku na mchana unapatikanaje? Samahani naomba kujua ila kama ulishajibu nipe link ya comment ya hilo jibu.
Acheni uoga jamaa. Leteni hoja zenu kama nyinyi mnasema ukweli.Na anajiita msomi aliyemo humo [emoji3526][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23]
Msomi mwenye mihimili iliyojichimbia ndani
. Wtf [emoji28]
Sent using Jamii Forums mobile app
Unaona?Swali la msingi unajuaje kama dunia inazunguka.
Mathalani, mlima wa kilimanjaro unaweza kunithibitishia ya kuwa hapo kabla haukuwepo hapo ulipo ?
Kuna mtu hapo juu alisema ina rotate at 1000km/hr,je hiyo ni too slow to notice the motion?Okay umeuliza kwanini dunia ikizunguka hatuisikii.
Jibu ni kwamba dunia ina-rotate too slowly of which ni rate mdogo sana ya rotation that would be very hard to notice, hivyo you can't feel motion in any way.
Kitu ambacho utakisikia ni acceleration and the Earth isn't accelerating.
Dunia inapozunguka kila kitu kilichokuzunguka kinazunguka at the same speed. Tofauti na ukiwa kwenye gari unalisikia gari linaenda kwa sababu unaona miti inaanza 'kurudi' nyuma lakini kama ingekuwa inahama na wewe pia usingesikia motion kabisa zaidi ya acceleration kutokana na barabara.
Una feel speed ya kitu pale ambapo unaona tofauti kati ya ya speed of two interacting objects.
Tukija kwenye a psysological point of view, wewe una uhakika gani kwamba hauisikii ikizunguka? Kumbuka umezaliwa ukaikuta kwenye hali iliyopo na tangu kuzaliwa umeizoea hii hali hivyo ni ngumu ku notice kabisa.
Binadamu na nyani ni viumbe wawili tofauti, nyani hawezi kuwa binadamu na binadamu hawezi kua nyani, ila kiumbe mmoja anaweza evolve na kuunda viumbe wengine tofauti .. tatizo hamsomi mambo mkaelewa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaha! Mi nimeamua bora hizi Mb's nidownload movie tu, hawa ni watu wa ajabu sijapata kuona.Dah, kazi ipo
Ngoja nilale.
Nacheka sana, hata wajinga wanapeana tuzo, hili halishangazi.
Ajabu ya watu kama nyinyi, yaani kwa ujinga huu mnapeana tuzo.
Kusema tu uelewa wako ni zaidi ya uelewa wangu, ni ishara ya kuwa wewe ni mjinga.
Wanao jua wanajua, haiwezekani tangu jana huweki hoja zaidi ya kutaj taja majina, na hii ni kazi rahisi sana.
Hujawahi kusikia tuzo za wanamuziki, wacheza mipira na wacheza filamu za ngono ? Sasa ujinga hauishi na huo wakwenu ni muendelezotu.
Unaona?
Nimetoka kukuambia dunia inapozunguka kila kitu kilichokuzunguka nacho kinahama na wewe na wewe kama kilivo.
Usichoelewa ni nini Zurri?
Hili tuu limefanya nisijisumbue kukueleza zaidi.
Unataka ushahidi wa namna gani? Wa kiroho? Maana tunachoongelea hapa ni sayansi na ndio uliyodhibitisha yote haya.
End of discussion.
kijiuongo flani hivi cha kupotezea muda, hongera mleta uzi hadi mimi nimejikuta nachangia upuuzi huu du!hello great thinkers,hope you are well in your daily activities,i would like to share with you this topic in respect because i believe it has a real meaning in a human mankind.
To begin many of people know the world is a globe on which is never going to be or happen ,and it never is ,because if you accept the deception then you are deceived and never use your hypothetical sense correctly without further hesitation ..i will provide documents and proofs then the discussion begins ,please use your mind here respectively and think twice...
READ THE FILES FIRST...
and there are alot of evidence that i can provide that even project to MARS is a media stream and is done in hollywood basements to turn peoples mind away from the great lands beyond the south pole/antartica.View attachment 1334468View attachment 1334467View attachment 1334469View attachment 1334470View attachment 1334471
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa mpaka muda huu naomba huo uthibitisho wa Sayansi huutoi, tatizo liko wapi mrembo ?Unaona?
Nimetoka kukuambia dunia inapozunguka kila kitu kilichokuzunguka nacho kinahama na wewe na wewe kama kilivo.
Usichoelewa ni nini Zurri?
Hili tuu limefanya nisijisumbue kukueleza zaidi.
Unataka ushahidi wa namna gani? Wa kiroho? Maana tunachoongelea hapa ni sayansi na ndio uliyodhibitisha yote haya.
End of discussion.
Hahaha! Mi nimeamua bora hizi Mb's nidownload movie tu, hawa ni watu wa ajabu sijapata kuona.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna mambo licha ya kufundishwa yapaswa utumie akili ya kawaida kabisa kama yawezekanika.Hahaha mkuu kuna eneo kubwa nje ya dunia yetu thats why imewekwa sheria ya Antarctica treaty iliyo sainiwa na nchi kumi na mbili ikiwemo south africa kupinga mtu yeyote asiende bara hilo kwakuwa wanadamu watajua dunia sio tufe bali ni tambarare
Sent using Jamii Forums mobile app
Uhalisia wako sio upuuzikijiuongo flani hivi cha kupotezea muda, hongera mleta uzi hadi mimi nimejikuta nachangia upuuzi huu du!
Hakuna picha ya dunia hasa iliyopigwa nje ya dunia. Kama ingekuwepo basi ukweli ungewekwa wazi kabisa. Picha zote zimetengenezwa ktk computer.Sasa wakuu nyie mmesoma hizo nadharia, full of conspirancy bila kufanya uchunguzi wenu binafsi[emoji2][emoji2].Kina Armstrong wameenda nje ya dunia wameipiga picha,sattelite zinaenda juu zinapiga picha kitunkinatoka cha duara, nyie mnataka kutufundisha nini sasa?[emoji2][emoji2][emoji2]. Watu wa meditation wamegonga meditation zao wanaona ni ya mfano wa mviringo pia, kina Gallilei Gallileo mpaka wakahukumiwa kifo kwa sababu ya kusema ukweli ngoma ni ya mfano wa duara!!Sasa wafiche tukijua kuwa iko kama meza watapoteza nini?
Kuna mambo licha ya kufundishwa yapaswa utumie akili ya kawaida kabisa kama yawezekanika.
Sent using Jamii Forums mobile app
..Unaona?
Nimetoka kukuambia dunia inapozunguka kila kitu kilichokuzunguka nacho kinahama na wewe na wewe kama kilivo.
Usichoelewa ni nini Zurri?
Hili tuu limefanya nisijisumbue kukueleza zaidi.
Unataka ushahidi wa namna gani? Wa kiroho? Maana tunachoongelea hapa ni sayansi na ndio uliyodhibitisha yote haya.
End of discussion.
Watu wanakwambia meli ikiwa inazidi kwenda mbele baharin huwa inazama, hivyo kudhihirisha kuwa dunia ni duara.Mkuu neil armstrong moja hajawahai kwenda mwezini,pili sattelite ni uzushi wanatumia underground communication cables na long tower cameras pamoja na drones,mkuu dunia sio duara nasiokuwa ni mzaha am serious jiulize why wanasayansi wanatumia straightgeometry na sio sphericalgeometry jiulize kwanini ukitumia p9 camera unaona meli iliyo umbali mrefu sana hata zaidi ya mile 70 kukiwa na low humidity hakuna curve mkuu sema nikupe lengo lao kwanini wamedanganya mkuu
Sent using Jamii Forums mobile app