Ncha maana yake ni ukingo ambao baada yake hakuna kingine kwenye hicho kitu husika.
Na ncha sio kweli kwamba ni imaginary point. Kitendo cha wewe kusemani imaginary point kinaonyesha ukomo wa kujua ukomo wa dunia kiumbile ni wapi.
Unaweza kuthibitisha ukweli wa hiyo ramani hapo juu ? Walitumia vigezo gani kuchora ramani hiyo ?
Katafute usome kwanza kabla ya kuzodoa msingi wa kujibu swali kwa swali.
Ukizodoa kujibu swali kwa swali, unajionesha ulivyo na msingi dhaifu katika falsafa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa hiyo dunia ina umbo gani...
kama sio sphere kama unavyotuaminisha,, maana yake ni kua kuna mwisho wake
Nichukulie mfano ulivyoweka apo juu kama bakuli.. Je ni bara la artantica tu ndo unaona ndo mwisho wa dunia..??..
Kama yapo wengine.. Mf: south america au hata australia.. Nadhani tungekua tushawai ambiwa kua ukifika sehemu fulani unaona kingo za dunia..
Sent using Jamii Forums mobile app
Professionally I'm not an architect ila I'm fascinated by architecture and engineering. Yes, round is 2 dimensional. At the peripheral line there is a dome, and we as humans can never venture beyond. Refer logo ya UN that is the REAL MAP of the earth. (truth hidden in plain sight)I
What happens at the peripheral line of your soo called round earth?.. i believe the difference ya round na spherical ni kwamba round is in 2D while spehircal ni 3D.... you are also an architect so you understand my language!.
Dunia ni duara ambalo ni tambarare ila sio mpira unaozunguka juaHuo ndio msimamo wangu, na nimewaambia ya kuwa dunia kiumbile ni duara ila kutakana na ukubwa wake na upeo w macho yetu na vitendea kazi tunavyotumia huonekana kama tandiko lililo tandikwa tu yaani tambarale
Basi sijui mkuu
Tatizo liko wapi then
Its only because they are highly denserUna shida kweli, inaonekana hata wewe bado hujawaelewa wenzako vizuri.
- Unasema kwamba vitu vinafall sababu ya density, density equals mass over volume, and we expect different materials to have different densities, Ngoja nikuulize swali.
Y do things fall at the same rate??
Sent using Jamii Forums mobile app
If we cant venture beyond this peripheral line dome, why can a person fly from say tanzania eastwards to Australia. Then from australlia eastwards to the states, then from the states eastwards again to Tanzania..and he does not find this peripheral. . Soo where is this peripheral located.???Professionally I'm not an architect ila I'm fascinated by architecture and engineering. Yes, round is 2 dimensional. At the peripheral line there is a dome, and we as humans can never venture beyond. Refer logo ya UN that is the REAL MAP of the earth. (truth hidden in plain sight)
ISAYA 40:22 SUV
"Yeye ndiye anayeketi juu ya duara ya dunia, na hao wanaokaa ndani yake huwa kama panzi; yeye ndiye azitandazaye mbingu kama pazia na kuzikunjua kama hema ya kukaliwa;"
Kuna videos from youtube nimepost hapo juu, please keep an open mind unapozipitia.
Sent using Intercontinental Ballistic Missile
Hapo tuko sawa sasa.
SawaYah kukubali hujui ni busara pia. Tatizo hakuna tena tumemaliza
Tafuta sehemu isiyokuwa na matuta, kisha mwambie dereva aendeshe gari kwa speed kubwa, halafu ulale au usiangalie nje, kama utahisi hiyo speed njoo Tena tukueleweshe kuhusu hiyo 10,000km/hr ya duniaKama unaamini dunia inazunguka basi wewe utakuwa ni juha.
Tena wazungu wanakwambia inazunguka 10,000km/h.
Ni mwehu tu ndo wakuamini haya mambo kama aliyeamini binadamu wa kwanza kaishi miaka milion 3.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Intercontinental Ballistic Missile
Weka ushahidi hilo unalosema kama limewahi kufanyika.. Hata flight routes za ndege haziko hivyo! Hakuna ndege inayotoka USA kwenda Australia through the Pacific Ocean. Zote zinapitia europe! Ask yourself whyThis is crap!!!.. kama earth ikiwa flat, nimetoa mfano hai, ukitoka tanzania mmoja akaenda east akapita australlia akarudia south amerika atarudi tanzania, na mwingine akienda west ataanza south america kisha australlia na kuturudi tanzania... iyo flatness inatoka wapi na watu watazungukaje na kurudi walipotoka kama sio duara??
Dunia ni round. Ushahidi ni kua mmoja anaweza kupanda ndege say from australia, akaenda east, mwingine akaenda west wote mkaja kukutana marekani japo alieenda west atatumia muda mrefu zaidi kwakua ni mbali zaidi..
Sasa mnataka ushahidi gani zaidi????? Kama kitu simple namna hui huelewi.??
This is crap!!!.. kama earth ikiwa flat, nimetoa mfano hai, ukitoka tanzania mmoja akaenda east akapita australlia akarudia south amerika atarudi tanzania, na mwingine akienda west ataanza south america kisha australlia na kuturudi tanzania... iyo flatness inatoka wapi na watu watazungukaje na kurudi walipotoka kama sio duara??
Jibu unalotaka ni kuwa liwe sawa na ambalo unafikiria wewe kwenye ubongo wako,in that case utasubiria sana mtu amatch exactly na your perception.Nimeuliza definition ya "flat" na proof yake..
Mpaka sasa sijapata jibu la kueleweka.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna flight Eastwards from Australia to the US! I stand corrected. Jiulize kwanini major airport hubs ziko uarabuni na bara europa!If we cant venture beyond this peripheral line dome, why can a person fly from say tanzania eastwards to Australia. Then from australlia eastwards to the states, then from the states eastwards again to Tanzania..and he does not find this peripheral. . Soo where is this peripheral located.???