Waterbender
JF-Expert Member
- Oct 2, 2018
- 7,913
- 10,743
sub qn. kwann tunachukua vipimo kutoka usawa wa bahari ?Exactly hakuna mwanadamu anaweza enda sehemu tumefungiwa mkuu ,ukitaka jua ukweli waulize hao nasa wameenda lini na wakupe real footages na sio ma sci fiction images
Sent using Jamii Forums mobile app
sub qn. kwann tunachukua vipimo kutoka usawa wa bahari ?
nashangaaa wakristo nao hawaamin mandiko kuwa dunia ni flat
😆😆😆 mkuu taratibu wakikusikia usinitajeeKwasababu maji ni mengi duniani kuliko ardhi kwa ukubwa
Hao sio wakristo
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji38][emoji38][emoji38] mkuu taratibu wakikusikia usinitajee
Wakristo gani hawaamini maandiko yao si wawe wapagani tujue moja nonsense
Sent using Jamii Forums mobile app
[/QUOT
ongeza sauti kidogo mkuuUnajua USA ilinunuliwa nafamilia 6.
Jay z sang"you know why Jews own Every property in america".
Fuatilia historia ya Putin from his father ambaye alikuwa committed luminat.
China Russia USA ni just karata watu wanazicheza.
Ndo maana kukawa na vita ya Kwanza.
See how wote wanavyochezeshwa gere na Laboratory virus.
Soon wakimchoka USA kwa dalili naona washamalizana nae wataushusha tu dollar then wanaweka new Order ambayo itafanana Sana na China inavyotawala
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama dunia ni flat kwa nini kuna utofauti wa masaa na majira kati ya sehemu moja na nyengine?
Sent using Jamii Forums mobile app
Americans think they are free but not at all
Wako chini ya debt bubble ambalo litalipuka any time soonView attachment 1419663
Sent using Jamii Forums mobile app
Wote wanajuana siri ipo vatican st peters basillica underground kwenye kanisa.Unajua USA ilinunuliwa nafamilia 6.
Jay z sang"you know why Jews own Every property in america".
Fuatilia historia ya Putin from his father ambaye alikuwa committed luminat.
China Russia USA ni just karata watu wanazicheza.
Ndo maana kukawa na vita ya Kwanza.
See how wote wanavyochezeshwa gere na Laboratory virus.
Soon wakimchoka USA kwa dalili naona washamalizana nae wataushusha tu dollar then wanaweka new Order ambayo itafanana Sana na China inavyotawala
Sent using Jamii Forums mobile app
apo mmeniacha dungu zanguMarekani inafahamika kipigo kipo njiani maana treasure wanawadai mpaka washachoka
Pesa ni mabadilishano ya uhuru na muda ,silver and gold ndo thamani inashikiliwa hapo.
Sent using Jamii Forums mobile app
apo mmeniacha dungu zangu
Dunia nzima ina experience majira sawa?Utofauti hakuna ila tumejiwekea utaratibu huo kutokana na mzunguko wa jua.
Giza na mwanga
Sent using Jamii Forums mobile app
Atleast zamani dollar ilikuwa inaegemea mgongo wa dhahabu but now inategemea supply zaidi. Na ndo maana nchi yoyote inayotaka kuachana na dollar anaingia kuipiga sababu anajua wakiacha tu dollar inakuwa haina thamani.Nachomaanisha pesa ni karatasi tu ambalo linamaanisha deni,wanaomiliki thamani ni ambao wana dhahabu na almasi
Tafuta video ya mike moleney.
Sent using Jamii Forums mobile app
hapa umeniconviceHizi hapa ya meli ni kuwa picha ya kwanza ulikuwa unaona bahari tu ikavutwa,yenye kama wingu ni higher humidity.zingine ni hiyo distance.View attachment 1334765View attachment 1334766View attachment 1334767View attachment 1334768
Sent using Jamii Forums mobile app