The World is a flat plane and not a globe

Ok
IMG_20200313_170621_411.JPG
IMG_20200313_170605_722.JPG

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Niliwahi uliza sijapata jibu. Naomba niulize tena,

Nchi mahasimu kama Marekan, Russia na au China linapokuja swala hili la globe Earth huwa wanaungana kutuganganya?

Tukirejea kipindi cha vita baridi Yuri Gagarin alivyozunguka dunia kupita orbit mbona Marekani hawakupinga?

Na Neil Armstrong alivyotua mwezini mbona Russia hawakupinga?

Ina maana hapa mahasimu wanaungana kutudanganya??

Mkuu REALITY naomba ujibu kwa hoja, najua tulifunga mjadala, lakini naomba unijibu hili.

Ndio wanaunguna na hivyo vyote havikuwahi tokea

Hapo Mtu mwenye akili timamu unaweza shangaa! Dunia hii yenye ushindani wa technology na Watu wenye kutaka sifa kwa kufanya au kuvumbua Vitu tofauti na mwingine.Wachina Warusi na Wajerumani washindwe kuonesha uvumbuzi wa flat Earth ili wapate sifa wao eti waungane na Nasa kudanganya umbo halisi la Dunia ili sifa ziende Marekani! Nadhani hiyo inakuwa ngumu kuwezekana!
 
Yaan USSR na USA walivyokuwa na bifu kubwa kiasi kile eti waungane, labda hujasoma historia ndo wasema hivyo mkuu.

Pata na muda wa kusoma hiyo vita baridi hicho kipindi cha 1945-1991

Kila mmoja alikuwa anapambana amshinde mwenzie kiteknolojia, wewe unasema waliungana.

Yaani nimemshangaa sana huyu jama, eti wanaungana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tatizo lako unakariri vitu na unachukulia unavyoviona ,hii dunia is an acting zone we live in an ARTIFICIAL REALITY.everything is hosted behind the shadows.

That's how you have tuned your mind.

So even the rivalry between USA and USSR is artificial according to you, even the WW1 and WW2 were not real, Hitler, Mussolini didn't exist.

Sasa hata hicho kifaa unachotumia hapo kuaccess jf utasema hakipo because everything is hosted behind the shadows.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Everything on the war happened but that was a political dogma ,its a mechanism of CONTROL .the truth cant be revealed but only hidden if you want to seek the truth do research on everything and join the dots on your own time.

There will be no truth except some crazy old fashioned conspiracy theories

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unajua duniani miaka ndani ya vita pili ya dunia marekani walifanya project high jump southpole iliyoongozwa na mkuu wa navy seal RADM Richard ,unafahamu report yake aliyorudi nayo???

Sent using Jamii Forums mobile app
Second World War 1939 -1945
Navy Seal founded in 1962

Whatever you are using is not good for your health. Please get your brain back!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom