Nipo, actually hii ndio mida ya kuwa kwenye geekdom, we work during nights.
Sema lara, unajua moja haikai mbili haikai, cliffhanger za namna hii tabu tupu. Please let Ronnie be like the 'nerd' apate his way pertaining to the BJ.
mie turns zote na twists humu ndani nazifeel kiukweli yaani kuna wakati kiroho kinakwenda pwikitu pwikitu kama cha mtoto mchanga na kuna wakati natoa cheko la nguvu au tabasamu pana .......................u r nasty in a sweet way lara 1