The word must go to Dr Willbroa Peter Slaa

"God is not unjust; he will not forget your work and the love you have shown him as you have helped his people and continue to help them." - Hebrews 6:10

Yap God is not unjust,

Hatasahau alichomfanyia mume na mke wa mtu atalipwa vema

Hatasahau uongo na chuki alizopandikiza watu kwa kinywa chake

Hatasahau ahadi yake ya kumtumikia kama padre akasepa...

list goes on..namshauri aombe msamaha kabla hajafa...
 
Topical,
Hii iko personal zaidi,
Leta ya kitaifa zaidi mkuu
nakuheshimu mkuu.
unajua tuliko lakini?
au uko Marekani.
 
crap!!
 
Topical,
Hii iko personal zaidi,
Leta ya kitaifa zaidi mkuu
nakuheshimu mkuu.
unajua tuliko lakini?
au uko Marekani.

There is thin line between personal behaviour and altitude

And Potential Public Leader (he wanted to be President)

Niko Tanzania, na Slaa ni tatizo zaidi kwa taifa kuliko faida, sasa hivi anatumika na mafisadi bila aibu..ameanza ku-attack personalities ambazo wewe unazipinga..hana jipya..ni hoax
 
Yap God is not unjust,

Hatasahau alichomfanyia mume na mke wa mtu atalipwa vema

Hatasahau uongo na chuki alizopandikiza watu kwa kinywa chake

Hatasahau ahadi yake ya kumtumikia kama padre akasepa...

list goes on..namshauri aombe msamaha kabla hajafa...

Typical TOPICAL at work!

Kama unajua sana madhambi ya watu unaweza ukatuwekea hadharani madhambi ya mzee JK pia??
 
Weka wewe ambaye unayafahamu...

Lakini God is not UNJUST na yeye atalipwa vema vilevile au siyo?
 
Be blessed Dr.
this generation will not forget you, am happy to live in Dr s life period
 
Dr. Hata mitume walidhihakiwa na hawakuaminiwa hasa kwao, na hawa wanao kunenea mabaya ya tawarudi.
 
There is thin line between personal behaviour and altitude

And Potential Public Leader (he wanted to be President)

Niko Tanzania, na Slaa ni tatizo zaidi kwa taifa kuliko faida, sasa hivi anatumika na mafisadi bila aibu..ameanza ku-attack personalities ambazo wewe unazipinga..hana jipya..ni hoax

kwenye red ....... sijawahi kuona kilaza kama wewe humu jf
 
Dr. Hata mitume walidhihakiwa na hawakuaminiwa hasa kwao, na hawa wanao kunenea mabaya ya tawarudi.

Kwahiyo Slaa ni mtume au nabii kwako au siyo? kuna nabii aliishi kwa kudanganya wewe acha kuwa zobe?
 
kwenye red ....... sijawahi kuona kilaza kama wewe humu jf

Tatizo shule uliyosoma ok...rudi shule wewe kilaza ulizoea kupewa mitihani sunday school inakula kwenu duniani..
 
Yap God is not unjust,

Hatasahau alichomfanyia mume na mke wa mtu atalipwa vema

Hatasahau uongo na chuki alizopandikiza watu kwa kinywa chake

Hatasahau ahadi yake ya kumtumikia kama padre akasepa...

list goes on..namshauri aombe msamaha kabla hajafa...

Toa kwanza boliti lililomo kwenye jicho lako ndipo uone kibanzi katika jicho la mwenzako!
 
Inshallah....Allah atakulinda...atakuepushia na MASHEIKH TWAIN Dr. wa ukweli.
Inshallah....Allah atakufanyia wepesi kwenye shughuli zako
Alhamdulilah wa bilalamin innallah fimnurku rizki mantashallah
 
Back
Top Bottom