The word must go to Dr Willbroa Peter Slaa

Kwahiyo Slaa ni mtume au nabii kwako au siyo? kuna nabii aliishi kwa kudanganya wewe acha kuwa zobe?

Mambo aliyodanganya Dr. Slaa
1. Kwenye Rada kulikuwa na Rushwa
2. Kuna wizi wa EPA ulifanyika
3. Kuna wizi wa ndege ya Rais
4. Kuna Rushwa wenye umeme wa Richmond Dowans
6. Kuna Wizi kwenye Kagoda
7. Kuna Wizi kwenye Meremeta
8. Ugumu wa maisha unatisha Tanzania
9. Uchaguzi ulichakachuliwa
10. Uuzaji nyumba za Serikali uligubikwa na Rushwa
.
.
.
.
.
DO YOU THINK ALL THOSE ALLEGATIONS ARE CRAPS?
 
Be Blessed DR. WEAPON, Allah akuongoze katika Mema Yote dhidi ya watu wake
 
Inshallah!!! mungu ukupe maisha marefu Dr. Slaa (PhD) na wengine wote wenye kulitakia mema taifa hili.
 
There is thin line between personal behaviour and altitude

And Potential Public Leader (he wanted to be President)

Niko Tanzania, na Slaa ni tatizo zaidi kwa taifa kuliko faida, sasa hivi anatumika na mafisadi bila aibu..ameanza ku-attack personalities ambazo wewe unazipinga..hana jipya..ni hoax

Sasa kama anatumika na mafisadi mbona hizo barua hamuwapi? Mnazidi kuwabembeleza? Kumbuka ni yeye aliyewataja bila kumung'unya maneno hapo Mwembe yanga, na nyinyi mlimwita mzushi leo mmejifanya kuvua gamba kwa maneno, ohh tunataka wajotoe wenyewe, Are u seriuos kweli? TO HELL CHAMA CHA MAGAMBA, FREEDOM IS COMING SOON
 
Wewe ni msafi??????au unaota?unamhukumu Dr.Slaa kwa utakatifu gani ulionao?Biblia imeonya juu ya hilo usinukuu aya za Biblia kumbe mtu mwenyewe huna hata chembe ya uhakika kama Kristo akishuka leo utanyakuliwa.Acha hizooooo.
 
The real men love him,the evil men hate him,but the former are 1000 times compared to the later
 
umelogwa katoe gamba.
Yap God is not unjust,

Hatasahau alichomfanyia mume na mke wa mtu atalipwa vema

Hatasahau uongo na chuki alizopandikiza watu kwa kinywa chake

Hatasahau ahadi yake ya kumtumikia kama padre akasepa...

list goes on..namshauri aombe msamaha kabla hajafa...
 
There is thin line between personal behaviour and altitude

And Potential Public Leader (he wanted to be President)

Niko Tanzania, na Slaa ni tatizo zaidi kwa taifa kuliko faida, sasa hivi anatumika na mafisadi bila aibu..ameanza ku-attack personalities ambazo wewe unazipinga..hana jipya..ni hoax

Amazing!
you wouldnt know a hoax if it stared you in the face!
If Dr.slaa be that,what about the CCM wolfpack?
 
hivi akimaza kutoa tuhuma ataongea nini huyo Slaa? personally namuogopa sina uhakika na output level katika kila anachokiongea.
 
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom